Complicator EM
Senior Member
- Dec 20, 2011
- 155
- 39
Jamani yaani hapa mfukoni niko empty, chai sijapiga, nawaza mchana itakuwaje hlf hata mwelekeo wa maisha bora niliyoahidiwa na Mh. siuoni kabisa si ni upumbafu huu? Ngoja nikavizie mtu akikatiza kihasarahasara nijifunze kukaba, no way. Mkitaka mnishauri mkitaka muache ila angalie usije ukajichanganya mbele yangu.