Njia njia ya kutokea..

Njia njia ya kutokea..

Bakulutu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2011
Posts
2,596
Reaction score
1,865
Habari wana jamii...
Naomba kuulizia wasifu wa wasichana/wanawake WAKISIMBITI kutoka kanda ya ziwa, tafadhali sana pasipo hisia,tetesi, kupakana/kudhalilishana n.k.
 
wewe kama umeridhika,oa. mengine utayajua mbele ya safari......
 
yaani unawaamini watu usiowajua kuliko umpendae?
Sidhani kama unaweza muoa?

Kiswali: ni mkoa gani kanda ya ziwa kuna wasimbiti?
 
kama humwamini basi tia chaka huyo demu wako,kama unamwamini muoe fasta. Nalog off
 
Wasimbiti!! Ndio kwanza nawasikia kwako..!
 
yaani unawaamini watu usiowajua kuliko umpendae?
Sidhani kama unaweza muoa?

Kiswali: ni mkoa gani kanda ya ziwa kuna wasimbiti?
Mkoa wa mara, the hebu dadafua statment yako kwamba naamin wa2 nisio wajua kuliko nimpendea!!!!!
 
Unataka mwanamke au kabila? kama unataka kuoa kabila basi kaoe la kwenu tu maana unalijua vizuri, lakini kama ni mwanamke muanagalie mwenyewe, wanawake hawafananishwi ila vimada
 
unamjua kongosho?

Lakini mpenzi wako wamjua fika.
Unaamini ntakalomjudge mpenzi wako kutokana na kabila lake wakati yeye as an individual simjui.

Amini unachkiona kwake

Mkoa wa mara, the hebu dadafua statment yako kwamba naamin wa2 nisio wajua kuliko nimpendea!!!!!
 
Back
Top Bottom