uhusiano kati ya jf na waabudu shetani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

uhusiano kati ya jf na waabudu shetani

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by client3, Jan 11, 2012.

 1. client3

  client3 JF-Expert Member

  #1
  Jan 11, 2012
  Joined: Aug 6, 2007
  Messages: 742
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  nimesikia tetesi hizi mara kadhaa ya kuwa popote pale utakapoona kuna ishara/alama za kupanda ngazi,cheo,daraja kutokana na aidha mchango wako (mfano hapa jf kutoka member to senior to member to
  senior expert member to Premium Member) au kuongeza idadi ya members (kama wafanyavyo kwenye GNLD,TIANSHI), na kuwapo kwa usiri mkubwa wa utawala/uongozi kama lilivyo la umiliki wa hii kitu; ni dalili mojawapo ya waabudu shetani.
  je mmeshawahi kusikia hii wanajf au mnafahamu nini kuhusu hiki,its just out of curiosity tu.
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Jan 11, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  rekebusha kwanza kichwa cha habari ndo tuendelee.
   
 3. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #3
  Jan 11, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kwahiyo nani anaeabudu shetani?
  Watu wanaotunukiwa u'Senior expert member'?
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Jan 11, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Actually katika sekta yoyote mtu anapanda nafasi au cheo kutokana na mchango wake!
  Iwe Ofisini- serikalini,
  Iwe Msikitini
  Iwe kanisani
  Mchango si fedha tu...ni namna yoyote ambayo mtu anaweka inputs zake mahala kwa nia ya kuendeleza kitu hicho aidha kiwe sustainable, au kipite mahala fulani!
  Sasa back to your allegation, hakuna mantiki wala mashiko katika dai lako!
   
 5. client3

  client3 JF-Expert Member

  #5
  Jan 11, 2012
  Joined: Aug 6, 2007
  Messages: 742
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  hicho naona ka kinafaa i hope sijachokoza hisia mkuu
   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  Jan 11, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Ndiyo maana umegomea kwenye u-member kuanzia 2007 nini?
   
 7. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #7
  Jan 11, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  ni bora ungechokoza hisia, umenichoma kidole makalioni

  nakuamuru rekebisha hiyo heading haraka!!!!

   
 8. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #8
  Jan 11, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  junior memba wa shetani na superior memba wote ni wa shetani

  anatukwaza tu bure wengine hapa.
   
 9. client3

  client3 JF-Expert Member

  #9
  Jan 11, 2012
  Joined: Aug 6, 2007
  Messages: 742
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45

  sijui si ndo maana naomba mnijuze
   
 10. client3

  client3 JF-Expert Member

  #10
  Jan 11, 2012
  Joined: Aug 6, 2007
  Messages: 742
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  kwani ipo dhambi hapo au ndo maana unaogopa kuongea bila jazba mkuu
   
 11. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #11
  Jan 11, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  kiukweli ukiiangalia jf imekaa kama secret society watu wanatumia avatar, wanatumia Id za ajabu mda mwingine hata mimi naogopa
   
 12. client3

  client3 JF-Expert Member

  #12
  Jan 11, 2012
  Joined: Aug 6, 2007
  Messages: 742
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  sorry didnt mean to offend u sir
   
 13. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #13
  Jan 11, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 1,115
  Trophy Points: 280
  Angalia sana maneno yako maana karibu vitu vyote duniani except bible, ni vya shetani"msiipende dunia na mambo yake, mtu akiipenda dunia kumpenda baba hakumo ndani yake".
   
 14. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #14
  Jan 11, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  haueleweke nini hasa point yako...
   
 15. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #15
  Jan 11, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  hadi uitoe hiyo jazba ndo na mie ntaitoa yangu

  unaanzisha zari afu unaogopa kurusha ngumi, **** alah!
  Badili kwanza ndo uendelee na mengine.
   
 16. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #16
  Jan 11, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  umeshaniofend skwea, rekebisha heading ndo tuendelee na kitu unachotaka kujua

   
 17. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #17
  Jan 11, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  shetani ni kitu gani?
   
 18. mpinga shetani

  mpinga shetani JF-Expert Member

  #18
  Jan 12, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 3,268
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Shetani ni kiumbe cha kufikirika kinachutumiwa kuwatisha waafrika
   
 19. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #19
  Jan 12, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  Huyo unayeongea naye ni Mwanamke wa Kike. Nalog off
   
 20. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #20
  Jan 12, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  afu wewe!!
  Nikikushika na hiyo pensi yako?!
  Nakuangusha hapo kwenye kiti

   
Loading...