Nataka nianzishe blog......

rebeca

Senior Member
Dec 18, 2011
190
27
Ya umbea and all other entertainment......

Mnapata wapi udaku wa 'nyumbani' ???

Na wa nje je???

Naomba mlist 'sources' zenu za umbea fashion na entertainmentz zooooote kny thread hiii....

Msijali nyie mtakuwa stake holder....
 
Kwa nini usianzishe blog ya mikasi sababu Bongo hakuna blog ya Mikasi..jinsi ya kupata source zake muulize Kongosho.
 
Mkuu mikasi!!! Mimi hapo kidogo napingana na ww naona ni bora aanzishe ya wembe angalau zenyewe zina wateja kuliko mikasi siku hizi watu wengi hawatumii mikasi coz wananyoa saloon. Sasa atamuuzia nani tofauti na makamu wetu wa rais dk. Billal maana yy nasikia anaitumia sana kukatia utepe.
Samahani mkuu kama sijakuelewa labda ww ulimaanisha mikasa na siyo mikasi ni typing error tu.
 
Naomba kufahamishwa hivi wenye blog kuna kitu huwa wana-earn for a living?
 
why me? Sijui mkasi wala wembe
nna dred

we unaijua kila idara,nadhan ata hii industry ya mikasi utakuwa deep..hongera kwa dred,to be honesty huwa nazmia sana madada wenye dred then wako original.
 
Mkuu mikasi!!! Mimi hapo kidogo napingana na ww naona ni bora aanzishe ya wembe angalau zenyewe zina wateja kuliko mikasi siku hizi watu wengi hawatumii mikasi coz wananyoa saloon. Sasa atamuuzia nani tofauti na makamu wetu wa rais dk. Billal maana yy nasikia anaitumia sana kukatia utepe.
Samahani mkuu kama sijakuelewa labda ww ulimaanisha mikasa na siyo mikasi ni typing error tu.

ata mie nilimaanisha mikasi hiyo hiyo ya kukatia utepe..duh kumbe ata Dr Bilal ni mtaalamu wa mikasi!sipati picha mpemba yule..asante kwa taarifa mkuu.
 
Mkuu mikasi!!! Mimi hapo kidogo napingana na ww naona ni bora aanzishe ya wembe angalau zenyewe zina wateja kuliko mikasi siku hizi watu wengi hawatumii mikasi coz wananyoa saloon. Sasa atamuuzia nani tofauti na makamu wetu wa rais dk. Billal maana yy nasikia anaitumia sana kukatia utepe.
Samahani mkuu kama sijakuelewa labda ww ulimaanisha mikasa na siyo mikasi ni typing error tu.

Niandikeje kuonesha nimecheka sana?
Lol... Haijatosha.
Complicator umenipunguzia hasira sana leo
 
Kwa nini usianzishe blog ya mikasi sababu Bongo hakuna blog ya Mikasi..jinsi ya kupata source zake muulize Kongosho.
mkuu labda unazungumzia mikasi ipi?????

jaribu hizi mzeewasupu au maisha matamu

mwache mwenzio aendelee na wazo lake,pia namshauri awasiliane na THE GLOBAL PUBLISHERS
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom