aikaruwa1983
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 1,398
- 1,504
helo Jf hivi hivi hii kitu mtima katika mwili wa binadamu unapatikana sehemu gani?
pia ni mfupa, mshipa au msuli coz ni kawaida mtu kusema yule dada kautikisa mtima wangu!!!!
msaada wa ufafanuzi.....
pia ni mfupa, mshipa au msuli coz ni kawaida mtu kusema yule dada kautikisa mtima wangu!!!!
msaada wa ufafanuzi.....