Bahati sibu

Bahati sibu

massai

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2011
Posts
653
Reaction score
137
Mzumgu mmoja alishiriki bahati na sibu ambayo mshindi wa kwanza anapata kiasi dola milion 1oo baada ya kushiriki akapigiwa cm na hiyo kampuni inayoendesha huo mchezo kua yeye ndiye mshindi wa kwanza .Kwa furaha aliyokua nayo akaona hata nyumba anayoishi haina hadhi ya yeye kuendelea kuish kwani tayari yeye ni milionea na anatakiwa aishi kwenye jumba la kisasa .Basi akaona hata kuibomoa ni kupoteza muda. Basi akaamua kuichoma moto. Baadaye akapigiwa cm akaambiwa mshindi si yeye ni mwingine ila majina yalifanana.
 
rekebisha kichwa cha habari basi wewe massai
 
Ha ha haaaa!! Imekula kwake hiyo. Angetakiwa afikiri kabla ya kutenda
 
Mmh!alikuwa akachukue kwanza ndipo aamue vyengine!
 
Back
Top Bottom