Kinanda...

Mphamvu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
10,702
3,288
Sseh?
I wonder kinanda kina nini, yaani kikipigwa unafeel high ile mbaya, very touchfull, regardless tune inamopigiwa. Kiwe cha umeme au kile cha kawaida...
Kuna yeyote mwenye anafahamu siri ya kinanda?
 
Mhhh napita hapa
habari yako mkuu wa kiduku

habari ni njema mkuu.
Ila next time usinikweze kiasi hicho, mkuu wetu ni Maulid Baraka wa Kitenge,
mimi sistahili hata kufunga gidhamu za viatu vyake.
Sawasawa?
 
habari ni njema mkuu.
Ila next time usinikweze kiasi hicho, mkuu wetu ni Maulid Baraka wa Kitenge,
mimi sistahili hata kufunga gidhamu za viatu vyake.
Sawasawa?

Sawa saw amkuu nimekupata
Ila na wewe uko juu
Hapa nasubiri waje waseme utamu wa kinanda bana
Ila Mkuu kinanda ni kinanda au wamaanisha mengine
 
Sawa saw amkuu nimekupata
Ila na wewe uko juu
Hapa nasubiri waje waseme utamu wa kinanda bana
Ila Mkuu kinanda ni kinanda au wamaanisha mengine

aaah mkuu?
Usifike mbali hivyo, kwani kuna vingine vya umeme kaka?
Hahahaha,..
 
aaah mkuu?
Usifike mbali hivyo, kwani kuna vingine vya umeme kaka?
Hahahaha,..

Nina wasi wasi na utamu wa kinanda unaouongelea hapa
Isije ikawa wamaanisha mengine wakati sisi tunakijua kinannda cha kawaida aise
 
Kamuulize Thabit Abdul mtoto wa Ilala a.k.a mchawi wa kinanda a.k.a mkono wa nini sijui
au muulize Alan Mapigo a.k.a Mapigiyaniyeno.
 
drums je?
zikipigwa kama unapoenda rock music, huezi acha kutingisha mguu, kichwa, mwishowe mwili mzima unaitikia.
 
Kamuulize Thabit Abdul mtoto wa Ilala a.k.a mchawi wa kinanda a.k.a mkono wa nini sijui
au muulize Alan Mapigo a.k.a Mapigiyaniyeno.

yeeah?
Thabit Abdul, that man...
Kuna mwingine anaitwa Jumanne Ulaya au J4, yuko na Jahazi Modern Taarab, wenyewe wanamwita 'Vidole vya biashara',
he's good kwa kweli.
 
drums je?
zikipigwa kama unapoenda rock music, huezi acha kutingisha mguu, kichwa, mwishowe mwili mzima unaitikia.

drums pia zina mvuto wake.
Ila haziwezi fikia mziki wa kinanda kaka, nadhani kinanda na gitaa ndo vyombo vyenye vinaweza kupigwa vyenyewe tu, na stil vikaleta ladha.
 
Nina wasi wasi na utamu wa kinanda unaouongelea hapa
Isije ikawa wamaanisha mengine wakati sisi tunakijua kinannda cha kawaida aise

hata mimi nakijua cha kawaida mkuu.
Tena kile cha kanisani chenye makanyagio kwa chini, if you know what I mean.
 
kinanda mara zote mlio wake hutegemea zaidi vidole vya mpigaji,mimi hapa naona sifa ziende kwenye vidole zaidi cuz bila vidole hakuna mlio ati...msikikweze kinanda bure
 
kinanda mara zote mlio wake hutegemea zaidi vidole vya mpigaji,mimi hapa naona sifa ziende kwenye vidole zaidi cuz bila vidole hakuna mlio ati...msikikweze kinanda bure

ahaa?
Kwa hiyo sifa kisipewe kinanda, apewe mpigaji, au vidole vyake, sio?
Je, mpigaji huyuhuyu tunaweza kumpa kifaa/ala nyingine tofauti na kinanda na akaleta utamu ule ule kama aliouleta through kinanda?
 
Sasa hapo inategemea na kipaji na utaalam wa mpigaji katika kuvishughulisha vidole vyake,maana wapo watu mahiri kuvitumia vidole hivyo hivyo katika ala mbali mbali,kama ngoma,gitaa,filimbi n.k.kwa hiyo ndio au hapana yote yaweza kuwa majibu
 
mambo ya do-re-mi-fa-so-ra-ti-do.do-ti...........Hakuna siri kubwa,vyombo haviwez kuwa sawa vyote.Kinanda babalao.
 
yup!
Vidole vinamfanya mtu kuwa mahiri, lakini inategemea na ala husika, sio?
Mfano ngoma ni matumizi ya kiganja kizima na jinsi ya kufanya timing kati ya mpigo mmoja na mwingine, filimbi ni ufundi wa kuziba na kuachia yale matundu, kwa kuzingatia muda in relation to mdomo wa mpulizaji, gitaa ni ile art ya kufinya nyuzi zile, na kujua kiasi cha mvuto unaotakiwa kulingana na pigo lengwa.
Lakini nataka tuexplore magic iliyopo katika kinanda, why?
Kile hata akipige nani, lazima kikupe hisia za kipekee tofauti na ala zengine ambazo huishia kuleta just musical pleasure.
 
mambo ya do-re-mi-fa-so-ra-ti-do.do-ti...........Hakuna siri kubwa,vyombo haviwez kuwa sawa vyote.Kinanda babalao.

there must be a secret mkuu.
Kinanda ni baba lao, no one can argue against.
But what is the connection between rythms of kinanda and our feelings?
Can anyone explain it to me, please?
 
O o oh, knanda!raha yake kubwa ni ujuz wa mshka nyuz ajue kupanda na kushuka co kushka sehem ile ile ktapoteza radha!
 
O o oh, knanda!raha yake kubwa ni ujuz wa mshka nyuz ajue kupanda na kushuka co kushka sehem ile ile ktapoteza radha!

kinanda kina nyuzi tena dadangu?
Najua ni weekend, lakini taratibu bwana. Afu hapa hata hatumaanishi vinanda vyenu hivyo.
Hapa tunachambua kinanda kama ala ya muziki.
Kuna siri gani ndani yake?
 
Back
Top Bottom