Mshkaji wangu na swali la kustusha.........

EJM_

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
3,836
2,090
For the past 2 weeks nilienda kijijini kwa kazi zangu za field, sasa nilikuwa na wengangu wawili ambapo tulifikia ki guest house fulani ambacho kwa nje kuna Bar ambayo nahisi ni kubwa kuliko zote hapo kijijini. Baada ya kukaa kwa muda mmoja wa wenzangu akaibuka na Bar Maid wa hiyo Bar so akawa amepata pumziko kwa siku kadhaa ambazo tulikuwa huko. Sasa kituko ni hiki,

Tuliporejea mjini siku moja akaniuliza "Hivi unafikiri ........................ (jina la gf wake) na .............................. (jina la yule Bar Maid) unafikiri ni nani bora kuliko mwenzake?

Dah mi nilistuka sana kwasababu nyingi tu lakini kubwa ni kwamba over milion reasons sikutegemea yule bwana afanye comparison hiyo hata kwa ku joke tu................... sasa mi nikajiuliza,

Alipewa nini na Bar Maid kiasi cha kuchizika hivyo!
 
Kwani huyo girlfriend ana nini ambacho huyo dada mwingine hana kama mwanamke hata uone ajabu yeye kuwalinganisha? Pengine hata personality yake ilimvutia jamaa zaidi, hivyo kazi ya mtu isiwe kigezo cha wewe kumshusha daraja wakati humfahamu kiundani.
 
Nakubaliana na wewe kwa upande mmoja that huwezi kum judge mtu kwa kazi yake hapo tupo pamoja ila bahati mbaya huyu binti tabia yake haitii matumaini kabisa na mambo mengine alikuwa anayafanya au kuyatenda mbele ya huyu mshkaji na hiyo ndiyo ilifanya mi nikastuka mama....sio kazi yake hata kidogo
 
Hhhm mambo mengine gani?
 
Wewe kuna kitu tofauti unataka tuseme............kwa nini hukumuuliza kilichopelekea akafanya comparison?Urafiki si ni pamoja na kushauriana na kupeana misimamo....umemshauri nini? aaaaah nina maswali mengi ngoja nipumzike!!!
 
Hhhm mambo mengine gani?
Kwa mfano mara kadhaa alikuwa anatupa story za mambo mengi aliyoyafanya na anayoendelea kufanya mpaka naw na mara kadhaa alikuwa anatoka na vidume wengine na sisi tukiwepo
 
Wewe kuna kitu tofauti unataka tuseme............kwa nini hukumuuliza kilichopelekea akafanya comparison?Urafiki si ni pamoja na kushauriana na kupeana misimamo....umemshauri nini? aaaaah nina maswali mengi ngoja nipumzike!!!
Moja, anapenda wanawake weupe...........na huyu maid ni mweupe kweli sina uhakika ni wa asili ama laaa inawezekana ikawa ndio sababu. Ushauri wangu mimi ni kwamba awe makini
 
Alikutana na mambo ambayo hajayaona maishani kwake, si unajua GF tena anajifanya mama mwenye nyumba full amri na kuna style hazitoi hehehe
 
Alikutana na mambo ambayo hajayaona maishani kwake, si unajua GF tena anajifanya mama mwenye nyumba full amri na kuna style hazitoi hehehe
We ndo umeongea maneno ya busara, basi mi sitii neno tena kwenye hilo hapo
 
We ndo umeongea maneno ya busara, basi mi sitii neno tena kwenye hilo hapo

rafikio ni kind ya wanaume wanaopenda wa aina ya naughty/bad girls, at least according to lizzy.
na wengi wa wanaume penda sana mambo hayo....lakini sasa cha ajabu hata wao hawapendi wife wa home awe hivyo sijui kwa nini?
 
Huyo rafiki yako,hajatulia kiufupi..

Hajafanya maamuzi ya maisha yake kimapenzi ama kimahusiano..

Kifupi ni kumshauri juu ya tabia yake...
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom