@lizzy na wenzio, mkaka akiwa na gari tu anang'oa?hata iwe STK au SU!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

@lizzy na wenzio, mkaka akiwa na gari tu anang'oa?hata iwe STK au SU!!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by BAGAH, Feb 2, 2012.

 1. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #1
  Feb 2, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  sijui kama hii ni kwa wadada wote au wachache tu,
  ila nimeona wadada wengi wakishoboka sana wakiona mkaka ana mkoko...
  burudani ni pale unakuta mshkaji ni dereva tu wa gari ya ofisi fulani....
  lakini atawatesa wengi kweli, na wengi wanajaa puuuuu, kama wanyama fulani hivi wajinga kuliko wote!!
  nilikuwa safari moja ya kikazi moro, dereva alietupeleka aliosha sana,
  baada ya kutushusha guest house, yeye akaenda mawindoni, na wakati anaondoka akasema "leo ntawadaka wengi na hivi nina gari ya office"..mwisho wa kunukuu!!!je nyie beijings gari inawachanganya eeeh?
  lizzy nimetumia jina lako maana nathamini sana mchango wako!!
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Feb 2, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,278
  Likes Received: 19,430
  Trophy Points: 280
  kwani wanaangaliaga namba hawa? kofia la pikipiki ukiwa nalo tu unabeba
   
 3. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #3
  Feb 2, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Bagah bana. . .haya asante kwa kutumia jina langu, ila siku nyingine utalipia!!

  Nwy wanaoshoboka na magari wapo sana tu wala sio siri ila huwezi ukakuta mwanamke mjanja kwenye kundi hilo. Kwa maana nyingine hiyo ni aina nyingine ya ushamba!!
   
 4. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #4
  Feb 2, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  thats my smart girl lizzy!!!napatamani hapo pakibuluuu!!!
   
 5. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #5
  Feb 2, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Wewe theory yako ya mwaka 47! Kuwa gari ni utajiri! Wanawake wanaojitambua (wa beijing) hawashobokei cha mtu awe buzi, mume ama bf! Imani ni kuwa kama wewe unaweza kupata hiyo gari basi na mwanamke nae hana kizuizi cha kuipata. Kama walivyo wanaume wanaopenda mteremko na wadada nao wapo.
   
 6. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #6
  Feb 2, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  kwa kweli
  utumiaji wa majina dah!
  Inabidi kuwe na fees
   
 7. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #7
  Feb 2, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  kaka/dada unaongoza kwa kubadili avatar...nice!!asante pia kwa kunichakachulia udhi
   
 8. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #8
  Feb 2, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  sawa it might be even 1924, ila mm nimeiona kwa vitendo tar 23/10/2011...
   
 9. Golden Mpoleeee

  Golden Mpoleeee JF-Expert Member

  #9
  Feb 2, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 572
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  gari muhim. Unataka nipate shda ya kutembea kwa muguu? Hiz ni swgar za wasiokuanavo!
   
 10. Thomas Odera

  Thomas Odera Verified User

  #10
  Feb 2, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 644
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Mkuu umenena maana hapo sina ubishi
   
 11. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #11
  Feb 2, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Nina sreds uchakachuzi syndrome
  asante kwa kunikumbusha
  avatar zangu nzuri
  vitu vizuri ni kawaida yangu
  si unaona hata wewe ulivyo mzuri?


   
 12. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #12
  Feb 2, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  bishanga hatii neno hapa maana yuko kwenye likizo ya kufikiri.
  nalogoff (source:washawasha)
   
 13. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #13
  Feb 2, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  haswaa Mwanmke mjanja hawezi akashobokea gari, mwanamke mjanja hua anajishughulisha na ujasiriamali na kufanya kazi kwa bidii ikiwemo kujiendeleza kielimu...
  Mwanamke mshamba ni vile vitoto vya Chuo tena vinavyotoka vijiji.. a.k.a kuku wa kienyeji
   
 14. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #14
  Feb 2, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Unatamani UNA PESA???
   
 15. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #15
  Feb 2, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  uzuri wangu huwezi kuuona kwa macho!!!
  KONGOSHO weee!!!(nimekutukana)ha haaa
   
 16. v

  valid statement JF-Expert Member

  #16
  Feb 2, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Usipotembea kwa mguu utembee kwa mikono au wheel chair sasa?
  Nyie ni wale mnanunua gari la kuringishia mabinti/wanawake mtaani.
  Mtu aache kumwonea wivu mwenye kiwanda cha kutengeneza magari akuonee wivu uliyenunua gari kwa mkopo wa benk??
   
 17. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #17
  Feb 2, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  My Lizzy is fine with Bajaj
   
 18. v

  valid statement JF-Expert Member

  #18
  Feb 2, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Hah hah hah.....Hata kama limeandikwa ubavuni AMBULANCE.
  Mradi wewe ndio unaendesha, Ushang'oa. Wake za watu ndo wanang'olewa kwa DFP, STK, SU hata ukiwa na PT hawana shida.
   
 19. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #19
  Feb 2, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Mweh! Hili nalo neno atii!
   
 20. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #20
  Feb 2, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Kuona siku moja haitoshi ku-generalise. Huku nilipo mwenye bodaboda hata kama kaajiriwa tu anakula bata kuliko owner manake magari hayafiki na hayana dili!
   
Loading...