Salamu

LordRex

Member
Jan 29, 2012
20
0
halo wana JF hivi salamu yetu tanzania ya "shikamoo" ina maanisha nini. Mana mfano kiingereza kuna "good morning" ambayo ni wishes. Naomba clarification.
 
salamu sana
ama baada ya salamu mimi muzima hofu na masha ni kwako wewe usiyeelewa shikamo ni nini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom