Jf vs bunge...

B'REAL

JF-Expert Member
Oct 20, 2010
4,279
2,733
nilikuwaa leo naskilizaa mazungumzo ya radio flani,nimeskiaa habari kubwaa zilizo tawala bunge leo mojaa ni kuhusu JAMII FORUM...eti kuna mbunge ameistaki kwa wabunge kwambaa ni mtandao unao tukana na kuzalilishaa watu,akataka uwalali kuhusu kusajiliwaa kwake kutokaa kwa waziri...waziri akasema mtu anae endeshaa jamii forum sio mtanzaniaa na imesajiliwaa njeee?hivi kumbee jamii forum ni mwibaa kwa wengi,inafichuaa maovu ya watu na sirii nyingi,wanataka kuiangamizaa...je kunaa m2 mwenye data full alie sikilizaa bunge la leo.JAMII FORUM ENDEALEA KU FIRE...FIRE ON DEM,MAN SELECTA
 
Huo ni moshi tu!
Bado moto haujawaka!
Ukiona imewauma, jua imewachoma!
Nyambafu wanatafuna tu nchi huku wakineemaka wao na familia zao.
Halafu hata kuzungumzwa hawataki!
Wadau aluta kontinua!
 
Mimi nimeisikia vizuri sana habari hiyo, alikua Mbunge mwanamke kwa bahati mbaya jina limenitoka kama sikosei Mama Lwakatare,
Ameilalamikia Jf kwamba inatukana na kudhalilisha viongozi, aidha akaitaka serikali kuichukulia hatua ikiwemo kuidhibiti Jf ili yanayoletwa hapa yahaririwe/yachakachuliwe na serikali kwanza.
Waziri alitoa majibu kwamba mitandao yote ya kijamii duniani haina utaratibu wa kikanuni wa kujisajili kwa kuomba leseni, popote pale katika nchi husika inapohitaji kufanya shughuli zake.
Tena mwenye kuendesha Jf wala si mtanzania, ni raia wa nje "aliendelea waziri kusema"
inshort Kiutu uzima Bunge limemaliza suala hilo kwa neno mitandao ya kijamii (include Jf) haidhibitiki.
 
nadhani itakuwa ni ile habari ya kutaka kujua vigezo vilivyotumika kuchagua mbunge fulani mchunga kondoo wa bwana....tifu imeanzia huko bila shaka
 
nilikuwaa leo naskilizaa mazungumzo ya radio flani,nimeskiaa habari kubwaa zilizo tawala bunge leo mojaa ni kuhusu JAMII FORUM...eti kuna mbunge ameistaki kwa wabunge kwambaa ni mtandao unao tukana na kuzalilishaa watu,akataka uwalali kuhusu kusajiliwaa kwake kutokaa kwa waziri...waziri akasema mtu anae endeshaa jamii forum sio mtanzaniaa na imesajiliwaa njeee?hivi kumbee jamii forum ni mwibaa kwa wengi,inafichuaa maovu ya watu na sirii nyingi,wanataka kuiangamizaa...je kunaa m2 mwenye data full alie sikilizaa bunge la leo.JAMII FORUM ENDEALEA KU FIRE...FIRE ON DEM,MAN SELECTA

Hilo ni biti tu hakuna mtu yoyote anayeweza kuangamiza JF
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom