Tujadili Sadaka kanisani kwa Mama Rwakatare

Nazjaz

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
7,684
8,832
Kuna sadaka zaidi ya tano, tena hamna usiri, watu wanaambiwa wa elfu kumikumi njooni mbele, kisha anakuwekea mikono na kukuombea.
Mbona Biblia inasema tukiwa tunatoa sadaka hata mkono wako wa kushoto isijue?
Mama Rwakatare ana Roho wa Bwana au roho ya money?
 
Kama mambo ndio yapo hivi siku hizi........nimeamini tunaishi nyakati za mwisho.....hivi nikisali mwenyewe na kumuomba Mungu kwa bidii sitafanikiwa? mpaka niombewe na watu kama kina Mama Lwakatare?
 
Kama mambo ndio yapo hivi siku hizi........nimeamini tunaishi nyakati za mwisho.....hivi nikisali mwenyewe na kumuomba Mungu kwa bidii sitafanikiwa? mpaka niombewe na watu kama kina Mama Lwakatare?
mi leo nilimsindikiza shosti wangu katoka Arusha ndio nikayaona hayo. Im always praying at home
 
Kuna sadaka zaidi ya tano, tena hamna usiri, watu wanaambiwa wa elfu kumikumi njooni mbele, kisha anakuwekea mikono na kukuombea.
Mbona Biblia inasema tukiwa tunatoa sadaka hata mkono wako wa kushoto isijue?
Mama Rwakatare ana Roho wa Bwana au roho ya money?

Naamini lakni hakulazimishi kutoa. Ni utashi wako ukiamua kutoa toa ukiamua kubana nazo ni hiari yako. Nadhani pia biblia inasema mtoe kwa moyo wa ukunjufu "hiari" pasipokulazimishwa!
 
mi leo nilimsindikiza shosti wangu katoka Arusha ndio nikayaona hayo. Im always praying at home

yapaswa kukusanyika kwa pamoja na siyo kusali mwenyewe dear, "wakusanyikapo wawili au watatu katika jina langu nitawapa mahitaji yao" maandiko yanatuambia hivyo kikubwa ni wewe na Mungu wako usiangalie mtu. tuanishi katika nyakati za mwisho kikubwa ni kusoma biblia na kuielewa ili usiyumbishwe.
 
Kuna sadaka zaidi ya tano, tena hamna usiri, watu wanaambiwa wa elfu kumikumi njooni mbele, kisha anakuwekea mikono na kukuombea.Mbona Biblia inasema tukiwa tunatoa sadaka hata mkono wako wa kushoto isijue? Mama Rwakatare ana Roho wa Bwana au roho ya money?
Unapaswa kwenda kusali kanisani sio vijiweni!
 
kanisa la kweli la Bwana huanzia mahali fulani na kusambaa hadi litakapoijaza dunia yote. kanisa la mama uliyemtaja lilianzia mikocheni na siku zote huhimiza watu wakusanyike kutoka nchi nzima na kumfuata mikocheni, that is just one test. sasa pembua mwenyewe aina ya roho aliyonayo!

ubrikiwe sana

nanyi mtaijua kweli
na hiyo kweli
itawaweka huru
 
"Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa" (Hosea4:6). This is foolish hawa wachungaji matapeli wanacheza na psychology of mind wanahubiri matatzo ili kuiteka jamii hii maskini. Pia hebu tujue kwamba mwanamke anauhalali wa kuongoza ibada "wanawake na wanyamaze ktk kanisa, maana hawana ruhusa ya kunena; bali watii, kama vile inenavyo torati. Nao waktaka kujfunza neno lolote, na wawaulze waume zao wenyewe nyumbani mwao; maana ni aibu wanawake kunena ktka kanisa"1wankorintho14:34-36)
 
Naamini lakni hakulazimishi kutoa. Ni utashi wako ukiamua kutoa toa ukiamua kubana nazo ni hiari yako. Nadhani pia biblia inasema mtoe kwa moyo wa ukunjufu "hiari" pasipokulazimishwa!
hii kali ukitoa sana na kutangazwa ndio unabarikiwa, nakumbuka kwenye maandiko mfano wa mwanamke aliyetoa senti moja kwa moyo ndiye aliyebarikiwa zaidi kuliko matajiri waliotoa nyingi na majigambo kibao... Siyo siri huyu mama Sijawahi kushawishika moyoni kuamini kama anamtumikia Mwenyenz Mungu... mnisamehe mnaomuamini
 
Mwizi tu huyo mama!! Dini na siasa wapi na wapi..kamati ya maadili sijui iliamuaje.
 
Binafsi watu wanao amini makanisa ya watu binafsi huwa nawaangalia mara mbilimbili maana huwa nahisi wanayumba kiimani.
Mwizi tu huyo mama!! Dini na siasa wapi na wapi..kamati ya maadili sijui iliamuaje.
 
Maandiko ya Biblia yanatuambia juu ya manabii wa uongo kuwa siku za mwisho wengi watakuja kwa jina langu (Yesu) watafanya ishara kubwa watatoa pepo etc... Lakini siku ya mwisho nitawaambia sikuwajua ninyi.

Maandiko yanatuambia mtawajua kuwa hao si wangu kwa matendo yao...ikiwa ni pmoja na ibada zao kulenga zaidi ktk kufanya miujiza...tamaa ya mali...walafi...wazinzi...etc
 
Nakumbuka jana ilitumwa thread hapa ya mabomu ya kakobe, kwenye yale mazungumzo nilisikia wanapanga pia namna ya kumlipa wakili sijui nani na nani unadhani hiyo pesa itatoka wapi kama sio waumini kuchangishwa??
 
DINI ILIYOBORA NI KUSAIDIA YATIMA NA WAJANE hivyo NENDA KANI SALI MWOMBE MWENYEZ MUNGU KISHA SADAKA YK NENDA KAWAPE MASKINI,WAJANE NA YATIMA NA MUNGU ATAKUSAIDIA
 
Nimekuwa muumini mzuri sana ktk makanisa ya kipentekoste.Kitu ambacho nimeng'amua ni kuwa hupaswi kuchukuliwa na mkumbo na msisimko wa upako ukaacha akili yako pembeni, maandiko yanasema itumieni akili yenu ipasavyo! Zipo siasa na usanii mwingi madhabahuni na hasa nyakati hizi za mwisho! Tuwe machowapendwa,yapime mambo yote na mpe Roho MT. nafasi ya kusema nawe na sio Muhubiri.
 
kanisa la kweli la Bwana huanzia mahali fulani na kusambaa hadi litakapoijaza dunia yote. kanisa la mama uliyemtaja lilianzia mikocheni na siku zote huhimiza watu wakusanyike kutoka nchi nzima na kumfuata mikocheni, that is just one test. sasa pembua mwenyewe aina ya roho aliyonayo!

ubrikiwe sana

nanyi mtaijua kweli
na hiyo kweli
itawaweka huru

Wewe jamaa una akili sana na nadhani kitendo cha kumpa Naiman ulitumia akili yako. BIG UP sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom