OMG!!!@hii ni nyumba ya mwalimu mkuu...

BAGAH

JF-Expert Member
Jan 17, 2012
4,523
1,060
nilipita shule moja huko morogoro katika wilaya ya MATOMBO, nikakutana na mwl mkuu, akanipeleka kwake..
ndio hapa,... 310019_1978899117477_1393124147_31745741_2001612_n[1].jpg


tanzania kuna sehemu ukifika unaweza kulia kabisa...ukiwa mjini huwezi jua hilo kabisa!
 
Leo ndio unajua?
Mbona maisha ya kawaida kabisa hayo kwa standard zetu.
 
Ndo maana niliamua kuwa mwalimu wa tuition nilisha achana nao siku nyingi!
 
Hawa viongozi wetu kama wameshindwa kazi kwa nin wasiachie ngazi kupisha watu wanaoweza
,kwanin wasiombe ule mchakato wa dr slaa jinsi ya kufanya cement na bati viwe sh5000?
 
Back
Top Bottom