Jamaa wanajenga afya... Naona wivu jamani. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamaa wanajenga afya... Naona wivu jamani.

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Mphamvu, Feb 10, 2012.

 1. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #1
  Feb 10, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Nimetazama taarifa ya habari ITV, kuna uhaba wa chakula huko Musoma Vijijini,
  hali yenye imepelekea watu kula kumbikumbi na mboga za majani.
  Tuache anasa pembeni, tuzungumzie nutritional factor za hilo menyu...
  Full protini kwa kumbikumbi, miksa mavitamin kwa majani.
  Mi nawaonea sana wivu hawa jamaa...
  Do you?
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Feb 10, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  yes I am.
  Nawatamani sana
  nlipowaona wakanikumbusha enzi hizo za maziwa na asali

  kitu natural hakina preservatives wala nini.
  Wamenitamanisha sana.
   
 3. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #3
  Feb 11, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 1,112
  Trophy Points: 280
  Kubali kuchafua jina jenga afya.
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Feb 11, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  unamaanisha nini?
  Kula kumbukumbi ni kuchafua jina?
   
 5. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #5
  Feb 11, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Nimewahi kula kumbikumbi zamani ila sasa hivi siwezi...acha wafaidi tu.
   
 6. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #6
  Feb 11, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  walikudhuru??

   
 7. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #7
  Feb 11, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  so la kumbikumbi kwa watu wengine huwa tunavimba mwili mzima ukichanganya na senene utanikuta MOI nimelazwa..

  endeleeni tu kula chakula cha msimu kama magimbi..
   
 8. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #8
  Feb 11, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Naaah...sema nikifikiria yale maziwa maziwa hamu sina. Raha kudaka lakini...haswa wale wamvua.
   
 9. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #9
  Feb 11, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Kwetu mwanamke hatakiwi kula kumbikumbi pamoja na watoto wadogo kwa hiyo umechagua njia iliyo sahii
   
 10. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #10
  Feb 11, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  mie mpaka leo nikipata nafasi nala, tena wabichi.
  Those days bana, unatega kibatari kwa kichuguu by night, ole wako mama ajue? Utamjuza bei ya kerosene by the time...
   
 11. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #11
  Feb 11, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kwanini Nitty?
   
 12. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #12
  Feb 11, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  pole mkuu, nasikia kuna mahala wanalia ugali.
  Sie kwetu twala kwa leisure, hasa watoto...
   
 13. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #13
  Feb 11, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  nimeipenda hiyo kifupisho,
  ati Nitty, nitungie na yangu basi?
   
 14. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #14
  Feb 11, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  kwani ukila kumbi unachafua jina?
  Mbona mie nakunywa Qibuku na hamna maneno...
   
 15. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #15
  Feb 11, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  wanamme wa kiafrica
  vitamu vyote wanawake hamruhusiwi kula

   
 16. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #16
  Feb 11, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  ha ha ha, umetamani?

  Labda uwe mphie au mphy
  ngoja aje Lizzy ndo mtaalamu wa romantic names

   
 17. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #17
  Feb 11, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  ila askari wao walikuwa wanauma
  kama wembe

  dah, nakiona na hicho kichuguu tulichokuwa tunaenda kuwashika.

   
 18. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #18
  Feb 11, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  sitaki romance na Lizzy, vipi, huwezi nitungia moja?
   
 19. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #19
  Feb 11, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  ni nowmer.
  Mvua ilikuwa defining moment nilipokuwa mtoto, wakubwa wanapanda, mie natafuta kumbikumbe.
  Sie kwetu hakuna askari wala nge, full wadudu wa kuliwa tu.
   
 20. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #20
  Feb 11, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Romantic name = Romance na mtu? ??!

  Haya mlale salama.
   
Loading...