King'asti Uko Juu

Black Rose

JF-Expert Member
Nov 21, 2011
243
171
Nimeshindwa kujizuia.Ninapenda sana michango ya King'asti.
Anachanganya utani na umakini na kutoa kitu makini.
Je wewe mwenzangu unasemaje kuhusu huyu mdada?
Samahani King'asti, nimekuanzishia mada kwa nia njema.
Hongera mwaya!
Nitaomba Mods waingilie kati kama kuna atakayepotosha uzi.
 
iko wapi like maana hii ni via mobile..
aaaaaahhhhh! :A S embarassed:
 
Asante kwa kumpongeza member mwenzako lakini hapa si mahala pake . Jaribu jukwaa la complains,..
 
..nawashukuruni sana wajameni..!mi ndo king'ast mwenyewe na hii ni ID angu mpya..!nimeamua kwa dhati kabisa kuwa mzalendo na mkweli kwa kureveal ID yangu nyingine ya teamo
 
mbona watuuzia chai Teamo?
 
Hii ihamishiwe chit chat tujimwage kwa kweli

Sijui hata kama yeye mwenyewe anajua kapaishwa huku.
 
..nawashukuruni sana wajameni..!mi ndo king'ast mwenyewe na hii ni ID angu mpya..!nimeamua kwa dhati kabisa kuwa mzalendo na mkweli kwa kureveal ID yangu nyingine ya teamo

Hahahahahahahahhaaaaaaaaaaaaa! Ngojea nikamwite.........na usikimbie.
 
Dah, Black Rose, this is a surprise! Nadhani matokeo ya kuacha kutumia yale majani mabaya yameanza kujitokeza.
Ila huku kwenye u-selebriti naogopa ogopa manake nahisi kila mtu ana designer everything,lol!
Asante kwa kuniwazia uzuri mwayego
Nimeshindwa kujizuia.Ninapenda sana michango ya King'asti.
Anachanganya utani na umakini na kutoa kitu makini.
Je wewe mwenzangu unasemaje kuhusu huyu mdada?
Samahani King'asti, nimekuanzishia mada kwa nia njema.
Hongera mwaya!
Nitaomba Mods waingilie kati kama kuna atakayepotosha uzi.
 
Sasa wewe una wivu kama mke mwenzio! Si ungenistua nimepaishwa, mchana nakula ugali najing'ata kumbe nimewekwa stejini! Acha wivu shostingo, lol

Umbea: eti mume karudi na bi mdogo?
Hii ihamishiwe chit chat tujimwage kwa kweli

Sijui hata kama yeye mwenyewe anajua kapaishwa huku.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom