Semehu wanayouza wine arusha

Semehu wanayouza wine arusha

Donpela

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2011
Posts
2,040
Reaction score
592
Natafuta duka la mvinyo uku!Wa masupermarket ile ile hawana variability ya taste!
HeLP
 
Nenda pale magari yanapoingilia upande wa stadium yalipokuwa yanapark magari ya loliondo kuna la wine au ni pm nikueleleze zaidi
 
napita tu hapa
namtafuta mwenye macho ya mng'aro.
 
nenda maeneo yale ya police mess karibu kabisa na mawingu city centre kuna duka wanauza mvinyo variety mbalimbali.
 
nenda pale unga LTD kwa mama kachukue mvinyo halisi yaani mbege..
 
Kuna duka liko hapo soko kuu linaitwa NEW OPEN CENTRE. yaani hapo kuna kila aina ya kinywaji mvinyo,spirit,beer ,champaigne n.k .....
MAPROSOO.
 
Kuna duka liko hapo soko kuu linaitwa NEW OPEN CENTRE. yaani hapo kuna kila aina ya kinywaji mvinyo,spirit,beer ,champaigne n.k .....
MAPROSOO.

ntasurvey apo,tnx mdau
 
Back
Top Bottom