William @ New York, USA @ Dodoma @ bongo can you be my Valentine?

William @ New York, USA @ Dodoma @ bongo can you be my Valentine?

Masanilo

Platinum Member
Joined
Oct 2, 2007
Posts
22,282
Reaction score
4,556
Kulingana na mapicha yako itapendeza tukiwa wote siku ya wapendanao ndani ya nguo nyekundu! Nitakufata huko Dodoma tutembelee wananchi siku ya valentine

Mwana M
 
unajua kupanga mawindo yako
hongera.

Mbwa wako asipobweka bweka mwenyewe - source !!!
 
Mmmmmh......@ watu na valentaini, this time naona people wako shapu kwelikweli!!!
 
Mwe mbona mwatutia wivu wapendwa?! Mie niwatakieni nyooooote JF members valentine njema

Mpendane na msitendane.
 
nitaanza na mimi kuandika @ mwenge. @ mbagala...@ lindi @ mtwara.....

naona kama inalipa hivi au? lol
 
Back
Top Bottom