Ningepata Division One NINGEROGWA!!

Katavi

Platinum Member
Aug 31, 2009
41,983
12,701
Ha ha ha aaah!! Hii nimeipata jana baada ya binamu yangu kule Kavifuti kuniomba nimtazamie matokeo yake ya kidato cha nne mtandaoni. Nilimpa matokeo yake lakini nilimsikia akipumua kama mtu aliyetua mzigo mzito ingawa alipata division FOUR. Nilipomuuliza unayaonaje matokeo akasema ni mazuri kwa kuwa angepata division one angerogwa.
 
Utani mzuri
Labda kwa wafugaji
Kusoma ni kupoteza nguvu kazi ya kutunza mifugo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom