Wishes ~~~~~~~~ I Wish..

Wishes ~~~~~~~~ I Wish..

Kuna nyama ya mbuni na white meat tu
Sausage zipo zile kubwa
Bia chache sana, ila dry liquor uje umejiandaa vema zipo za kutosha.
kwenye BBQ mnanyama gani..??
Kuna sausage za kutosha??
Bia je?
 
Home made liquour liquor.jpg
 
Na wewe pia mapumziko mema ya mwisho wa wiki.

NIna Plan ya kuwakutanisha wana MMU wote kwenye get together ambayo tutagonga BBQ ...nataka Doctorz awe coordinator mimi mtoa wazo tu.
 
wishes bana,kuna siku nilisha wish nagonga menu na Virgin Mary
 
I wish
I wish
I wish....
(Kwa kasauti ka R Kelly)
Ndio mana umepata 4 ya 27 eeh! Nahisi wewe ndie ulieandika bongofleva kwenye mtihani wako!


@Afro D, thanks very much dear, have a nice week end too! Mwaaaaaaaaaa to you!
 
i wish i was in you heart and mind.......
 
Afro mambo? Naomba unipige kozi ya kuchora hivyo vipicha picha
 
Hahahahahaha!! Una mambo! Haya mi nawish kukuona live.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom