Jamani nimevumilia nimeshindwa, naomba mnisaidie kuuliza KONGOSHO ni male au female, simuelewi..nimejaribu kufatilia post zake but ana badilika kama kinyonga..
jaman lizz usinambie hujui mbona naona nyi ni mabest, help me jaman, mwanamke mwenzio
dont tel me (tel me about it)..lol
mmmmmh, njoo tuoneshane.
Angekua anataka mjue asingewachanganya...
ha ha ha, acha kuwalisha basi sumu
hujaandaa hata maziwa ya kuwapa wakilewa.