ni haki yangu kuweka wazi hisia zangu kwa yule nmpendae | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ni haki yangu kuweka wazi hisia zangu kwa yule nmpendae

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Queen V, Feb 10, 2012.

 1. Queen V

  Queen V JF-Expert Member

  #1
  Feb 10, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 546
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 180
  Nimejaribu kuwa mkimya kitambo lakini naona haina maana.
  Mimi nmeanza kuifuatilia jf kitambo sana na kuna watu wengi wananifurahisha kwa michango yao, lakini mimi anaye nifanya nienjoy niingiapo jf ni FIGGANIGGA. Huyu mkaka ananibamba vilivyo. Nimeshindwa nifanyeje sababu hata Pm zangu hanijibu, friend request kakaa kimya. nifanyeje ili ajue kama namhitaji. hata akikubali kuwa rafiki yangu ni heri pia. naombeni ushauri wenu lakini naomba msininange coz itaniuma. asanteni.
   
 2. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #2
  Feb 10, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,276
  Trophy Points: 280
  Kweli JF ni zaidi ya social network, yaani mtu ana post 3 tu halafu anasema alikaa kimya kitambo!! naomba unipm nikupe semina ya jinsi ya kumiliki multiple ID bila kutambulika.

  [​IMG] Queen V

  Today 12:04
  #1 [​IMG]
  [​IMG] Junior Member Array


  Join Date : 19th January 2012
  Posts : 3

  Rep Power : 0
   
 3. Queen V

  Queen V JF-Expert Member

  #3
  Feb 10, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 546
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 180
  so siruhusiwi kupenda?@matola
   
 4. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #4
  Feb 10, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,276
  Trophy Points: 280
  Unaleta usanii kwenye jumba la sanaa!?? hapa ndio kaole chuo cha sanaa.
   
 5. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #5
  Feb 10, 2012
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,499
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  Ngoja nikamuambie mzee wa mia kama roho yako ishamdondokea. :lol::lol::lol:
   
 6. daughter

  daughter JF-Expert Member

  #6
  Feb 10, 2012
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 1,275
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  watu kwa kudondoka jf sikuizi..lol!afu eti mtu anadondoka kwa id mpya
   
 7. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #7
  Feb 10, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,465
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Queen V vipi matokeo ya kidato cha nne lakini?
   
 8. ndenga

  ndenga JF-Expert Member

  #8
  Feb 10, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,695
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Mbona wengine hatudondokewi..dah! All the best mzee wa mia
   
 9. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #9
  Feb 10, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Sio lazma kujianzishia thredi jama, mnafanya thredi za maana ziende page ya tatu au ya nne bila sababu ya msingi.

  Tafuteni njia nyingine ya kupata umaarufu na sio huu utoko.
   
 10. m

  mtengwa JF-Expert Member

  #10
  Feb 10, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,745
  Likes Received: 225
  Trophy Points: 160
  teh teh teh teh da nimejikuta nacheka mwnywe
   
 11. Twande

  Twande JF-Expert Member

  #11
  Feb 10, 2012
  Joined: Dec 31, 2009
  Messages: 543
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hahaaaa watu mko deeep!
   
 12. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #12
  Feb 10, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Kama anakutosa ni dondokee mimi maana mi sichagui na beba tu
   
 13. kitalolo

  kitalolo JF-Expert Member

  #13
  Feb 10, 2012
  Joined: Dec 4, 2006
  Messages: 1,846
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  kweli hata hilo lisura lako linaonyesha kuwa wewe ni zoazoa
   
 14. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #14
  Feb 10, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Usingebadili ID ingeleta maana zaidi
  Huwezi tuma PM kama una post chini ya 5.
   
 15. roby2006

  roby2006 JF-Expert Member

  #15
  Feb 10, 2012
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 399
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Zali la mentali mzee wa 100 usiniangushe
   
 16. B

  Ba-Zuri Member

  #16
  Feb 10, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jaman wana JF leo nimepata call toka nssf na nimeuliza baadhi ya watu pia wamepigiwa wanadai wana counter check….Any news
   
 17. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #17
  Feb 10, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Mzee wa mia hapa hafanyi makosa.....
   
 18. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #18
  Feb 10, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  nssf?? Umepotea njia.....
   
 19. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #19
  Feb 11, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Hata mie wakuja nimeishutukia sanaa hii ! Si angeifanyia hata maandalizi basi ! Badala ya mkurupuko hivi ! Na mwisho wake kwa benefit ipi ?
   
 20. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #20
  Feb 11, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  ka?
  Mkuu usiwe unatoa makavu dizaini hiyo, dah?
   
Loading...