ZENITH
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 1,063
- 990
Mlevi wa kwanza akamropokea mwenzie kwa hasira;Kwa taarifa yako,jana nimelala na mama yako mpaka asubuhi. {Watu wote pale bar wakakaa kimya kusubiri yule mlevi wa pili atakavyojibu mapigo}.Mlevi wa pili akajibu huku akicheka sana;"Baba,naona umelewa sana,hebu nyanyuka turudi home!"