JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Jamani nimevumilia nimeshindwa, naomba mnisaidie kuuliza KONGOSHO ni male au female, simuelewi..nimejaribu kufatilia post zake but ana badilika kama kinyonga..
1 Reactions
117 Replies
7K Views
Kulingana na mapicha yako itapendeza tukiwa wote siku ya wapendanao ndani ya nguo nyekundu! Nitakufata huko Dodoma tutembelee wananchi siku ya valentine Mwana M
1 Reactions
50 Replies
3K Views
Nimeshindwa kujizuia.Ninapenda sana michango ya King'asti. Anachanganya utani na umakini na kutoa kitu makini. Je wewe mwenzangu unasemaje kuhusu huyu mdada? Samahani King'asti, nimekuanzishia...
4 Reactions
49 Replies
4K Views
Goodmorning haters. . . Chamillionaire - Good Morning - YouTube I wanna show all my haters love This song for you If you acting like me and I was in your shoes I'd probably hate on me...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Mlevi wa kwanza akamropokea mwenzie kwa hasira;Kwa taarifa yako,jana nimelala na mama yako mpaka asubuhi. {Watu wote pale bar wakakaa kimya kusubiri yule mlevi wa pili atakavyojibu mapigo}.Mlevi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Baada ya majambazi wawili kuiba pesa benki.JAMBAZI#1;Aisee mzazi,tukae chini tuhesabu mkwanja tuliovuna. JAMBAZI#2;Ee bhana mimi nimechoka siwezi kuzihesabu,tusubiri kesho kwenye vyombo vya...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Nimetazama taarifa ya habari ITV, kuna uhaba wa chakula huko Musoma Vijijini, hali yenye imepelekea watu kula kumbikumbi na mboga za majani. Tuache anasa pembeni, tuzungumzie nutritional factor...
0 Reactions
53 Replies
4K Views
I wish if...... ukiambiwa u wish kitu kimoja kitakuwa?? Have a great weekend..
5 Reactions
40 Replies
3K Views
BREAKING NEWS: End of the world which was scheduled for 2012 has been postponed to 3012... please resume living your normal lives
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimejaribu kuwa mkimya kitambo lakini naona haina maana. Mimi nmeanza kuifuatilia jf kitambo sana na kuna watu wengi wananifurahisha kwa michango yao, lakini mimi anaye nifanya nienjoy niingiapo...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Wadau wa JF. Hivi wakuu wa TBC wamefanya makusudi au ndiyo ubunifu mpya. Kwenye kipindi cha Jambo asubuhi watangazaji wake wanatangaza huku wamekaa kwenye viti vya garden wakati wapo studio.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Natafuta duka la mvinyo uku!Wa masupermarket ile ile hawana variability ya taste! HeLP
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Ha ha ha aaah!! Hii nimeipata jana baada ya binamu yangu kule Kavifuti kuniomba nimtazamie matokeo yake ya kidato cha nne mtandaoni. Nilimpa matokeo yake lakini nilimsikia akipumua kama mtu...
1 Reactions
43 Replies
3K Views
  • Closed
JF ina members na members, kuna wengine wanajiona ni vinara, hawataki kuona wenzao wakiibukia. Kuna members wako kushambulia tu na kuharibu mada za wengine kuna members wanaojifanya " much-know"...
0 Reactions
101 Replies
5K Views
How are you today? Siku yako yako imeanza vizuri? Au vibaya? Inakwendaje? Je kuna lililokufurahisha au kukukera leo hii? Kuna lipi ungependa ku share with us today...? Lets socialize. . . .
4 Reactions
53 Replies
4K Views
Padre mmoja akiwa kwenye gari alisimamishwa na Trafic Police,police akiwa anahitaji rushwa alianza kuuliza maswali mengi, mara mbona gari lako linatoa moshi mwingi? mbona gari lako matairi...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Wadau vipi mbona kimay siku izi? Mh. Liverpool vipi au vikao vya kamati vimekubana????
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Babu Shikamoo, Kila kukicha na kuchwa unanisimlia hadithi za ujanani mwako ila hujawahi kunambia wazazi wangu ni kina nani na wako wapi? Sasa usiposema ntakusemea kwa Bibi unavyonipa ice cream ili...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Hello JF chit-chatters, u ther buddies? It's another beautiful Wednesday evenin, or jus lem'me say it's a "Ladies-Night" as it is normally refered to here @ the Babylon Club, kachala...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ndugu zangu mlio mbali na familia zenu kwa sababu moja au nyingine tuungane hapa angalau tujiliwaze wakati tunaingia katika week end nyingine huku tukiwa wapweke. Leo nimepata uchungu sana...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom