huyu mama sio member wa jf jamani??ama namfananisha

content ya hicho kilicho katika hiyo picha pembeni hapo nakubali asilimia mia.
 
mnavyotaja jina sarafina mnanikumbusha mpenzi wangu wa darasa la sita hapo mimi std 7.... dah sarafinaaaaaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom