Vipi, mzee ataenda kutuwakilisha kwene mazishi ya Witne Haston?

TheChoji

JF-Expert Member
Apr 14, 2009
4,975
15,314
Hii si ni sababu tosha kabisa kwa mzee ku kwea pipa kwenda kuliwakilisha taifa kwene huu msiba? Maana naona ni muda sasa hajapata safari ya kwenda mangaribi ya mbali. Mi naona tumtume akatuwakilishe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom