serikali ya magamba kwisha''jf yaombwa kuunda serikali ya mpito

Ballot

Member
Jan 4, 2012
39
12
habari zilipofika Jf headquater zilimkuta Buchanan akiwa shift akataka kuchakachua majina ya mawaziri lakini Paw akashtukia akapeleka taarifa kwa invisible
Kikao kinaendelea kupitisha majina ya serikali nzima ya mpito'pendekezeni majina ya wana jf na nyadhifa watakazoshika'''
 
Mmmmmm! Kaaaazi kweli kweli!
 
Shibe hiyo, mwenye njaa ataongea hayo? halafu oohhh Tanzania kuna shida!
 
Hiyo ID ilienda wapi?

Mkuu Buchanan hiyo id mmeifuta makusudi kabisa'kila niki sing in inagoma'kuna message inasema hakuna id kama hiyo''hii ni mpya nipo tayari kuachana nayo kama mtarudisha my
Original one
 
Nimeangalia inaonesha ID ya topthinker ipo, sijajua kwa ni kwa nini wewe unadai haionekani!
 
Back
Top Bottom