J julisa JF-Expert Member Joined Dec 15, 2011 Posts 209 Reaction score 50 Feb 13, 2012 #1 Wana jf mm nalipendekeza lile tangazo la radio la wamasai wawili wanaongelea ulevi wao hadi mwingine akaingia boma la mama mkwe! Tangazo bovu kabisa ni la tv la kanumba la startimes!
Wana jf mm nalipendekeza lile tangazo la radio la wamasai wawili wanaongelea ulevi wao hadi mwingine akaingia boma la mama mkwe! Tangazo bovu kabisa ni la tv la kanumba la startimes!