Katika nchi ya Italia ambapo yapo pia makao makuu ya VATICAN, Papa John Paul II( sasa marehemu) alikuwa akiwahi katika moja ya vikao vya kanisa, akamwamulu dereva wake aendeshe gari kwa kasi ili...
Chit chat vema..?
Najua wengi mtakua mmeitikia vema,vema, vema sana.
Kwa kuwa wengi wetu tuna ndugu jamaa na wadogo zetu waliofeli(japokuwa mimi sikuwa na ndugu wala mdogo wangu aliyemaliza...
Saa 11.00 Kuamaka toka kitandani
Saa 11.10 - 11.40 Mazoezi ya viungo
Saa 11.40 - 12.20 Kuijiandaa na usafi wa mwili mpaka kupiga pamba
12.20 - 1.00 Kusoma magazeti na kupata kifungua kinywa...
Habari za J'Pili wanadamu wenzangu.
Mwanadamu kama mnyama yeyote an mahitaji sawa na wanyama wengine.
Ingawaje mwanadamu anajiona kuwa ni mmiliki wa vyote. Anaviharibu na kuvifuja atakavyo bila...
Leo jioni kulikuwa na shindano la mpira wa miguu kati ya cdm na maga.mba makuburi dsm.
Baada ya ccm kufungwa goli 3-0, na kupewa kadi nyekundu mbili waliamua
kuleta fujo na kumuiba mbuzi ambaye...
Dah!wapemba Noma,Nina rafiki yangu Mpemba tumezoeyana sana,Nakutaniana kwa sana yani tena zaidi.Basi leo Asubui ndo kimenuka nimekutana nae maeneo ya kazi kama kawa tulivyo onana tu tukapeana...
Wahenga wanasema ukiona mtu mzima analia ujue kuna jambo. Bandugu hali imetaiti najicheki nina kama buku tu. Okoeni jahazi jamani mtoto wa kiume nisiadhilike.
ndg JF kesho ntakuwa na game na shame wenu ambae nimemuangaikia mda mrefu, nile vyakula gani ili kesho nifanye kweli? nisaidieni ndugu ili tuondoe aibu hii kwa akinababa wenzangu......
Hivi kama katiba ingekuwa inaruhusu JK kugombea misimu mitatu, Angesimama 2015 angechaguliwa?
Just say no or Yes. Halafu FF naomba usiseme Yes ya kinafiki.
1.Kujua kugonga msumari haitoshi kuitwa fundi.
2.Kuwa na dada wengi sio kujua kutong0za.
3.Kujikwaa ni kwenda mbele.
4.Akumulikaye mchana usiku hukuzimia taa.
5.Kukaa karibu na mahakama sio...
Nimeshaona wazee wa kiume wakiwakataa, watoto walio wapata nje ya ndoa.
Aidha kuna wengine huwakubali, bt kw kificho ambapo inafanywa kua secret kati ya Mama aliemzaa mtoto huyo, Mtoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.