Kipi ni ujinga

Jonogomero

Member
Feb 8, 2012
99
27
Lipi ni ujinga zaidi???
1. Kujiita romantic wakati uko single,
2. Kung'arisha viatu wakati unaenda kupiga passport size,
3. Kukaa kiti cha mbele karibu na dereva halafu unamwambia konda shusha,
4. Kumwamsha mgonjwa ili umpe dawa ya usingizi,
5. Kupigiwa simu halafu unaangalia balance yako,
6. Kutafuta remote ya TV for ten minutes wakat TV ipo karibu yako,
7. Kupunguza sauti ya radio ili usome sms,
8. Kukataa kupima wakati unataka uishi kwa afya njema.
 
kuandika mambo yote hayo wakati una kazi nyingi za kufanya nadhani ndio ujinga.
 
Kusafiri na begi lenye lebo za mashirika ya ndege kwenye mabasi ya mikoani.
 
Lipi ni ujinga zaidi???
1. Kujiita romantic wakati uko single,
2. Kung'arisha viatu wakati unaenda kupiga passport size,
3. Kukaa kiti cha mbele karibu na dereva halafu unamwambia konda shusha,
4. Kumwamsha mgonjwa ili umpe dawa ya usingizi,
5. Kupigiwa simu halafu unaangalia balance yako,
6. Kutafuta remote ya TV for ten minutes wakat TV ipo karibu yako,
7. Kupunguza sauti ya radio ili usome sms,
8. Kukataa kupima wakati unataka uishi kwa afya njema.

Hahahaha.! Kula tano mkuu, zote kali
 
Back
Top Bottom