kipi ni ujinga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kipi ni ujinga

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Jonogomero, Feb 13, 2012.

 1. Jonogomero

  Jonogomero Member

  #1
  Feb 13, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 99
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Lipi ni ujinga zaidi???
  1. Kujiita romantic wakati uko single,
  2. Kung'arisha viatu wakati unaenda kupiga passport size,
  3. Kukaa kiti cha mbele karibu na dereva halafu unamwambia konda shusha,
  4. Kumwamsha mgonjwa ili umpe dawa ya usingizi,
  5. Kupigiwa simu halafu unaangalia balance yako,
  6. Kutafuta remote ya TV for ten minutes wakat TV ipo karibu yako,
  7. Kupunguza sauti ya radio ili usome sms,
  8. Kukataa kupima wakati unataka uishi kwa afya njema.
   
 2. M

  Maswalala Senior Member

  #2
  Feb 13, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yote ni ujinga...
   
 3. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #3
  Feb 13, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,227
  Trophy Points: 280
  vyote. . .
   
 4. BAOSITA

  BAOSITA JF-Expert Member

  #4
  Feb 13, 2012
  Joined: Nov 2, 2011
  Messages: 370
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Dah,hiyo ya 3 ni hatari zaidi!Konda shusha wakati umekaa karibu na dereva??!!!!
   
 5. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #5
  Feb 13, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,003
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  ya mwisho ni kali zaidi
   
 6. Gabmanu

  Gabmanu Senior Member

  #6
  Feb 13, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 161
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  M naona vyote ujinga kasoro moja tu!
  Unadhan n lipi?
  Lile la no.8
   
 7. salito

  salito JF-Expert Member

  #7
  Feb 13, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,365
  Likes Received: 352
  Trophy Points: 180
  dah hii thread me nimeipenda sana mwenzenu,ah haha haha ha hahaha hahaha haha...
   
 8. NusuMutu

  NusuMutu JF-Expert Member

  #8
  Feb 13, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 423
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ujinga zaidi ni wewe kuweka thread ya kijinga hapa
   
Loading...