Habari wana-JF wenzangu, naimani mko swalama jumapili ya leo wengi mkiwa mmepumzika majumbani mwenu,
Ndugu yenu ktk jukwaa nipo safarini naelekea nyumbani Iringa so dua zenu na sala...
Sharobaro amepata mchuchu mpya. Siku hiyo usiku akampigia simu: sharobaro: hellow. Demu:hellow darling sharobaro: are you eyes? Demu: what? Sharobaro: are you eyes this time? Demu: whaaat...
Inasemekana kwamba baadhi ya member wa JF ni viongozi wa sirikali!kama ifutavyo!
FF= Sofia simba
AshaDii=Anne Makinda
NN=magufuli
Lizzy=Mama lwakatare
Lejao=Wasira
Rev Masanilo=Prof Ndulu...
EVER WONDERED WHAT'S IN A GIRL'S OR MEN'S CELLPHONE INBOX? WELL CHECK OUT THE DIFFERENCE!!!
GIRL'S INBOX:
I love u... (Mudy)
Hi babez... (Deno)
... MPESA CONFIRMED YOU HAVE RECEIVED TSH 50,000...
FL1, If you weren't so likable, then maybe those darn germs wouldn't like you so much.lol!
Hoping you become more offensive... to germs at least.
Get well soon!
Nakumbuka Baba yangu alinihadithia kuwa yeye alikuwa anashika nafasi ya kwanza kwenye mitihani yake na kuna siku alishika nafasi ya pili akalia sana mitihani iliyofuata akawa wa kwanza tu ...
je...
Nilikuwa nafanya topographical survey katika pori moja maeneo ya Ifunda-Iringa kwa ajili ya ku-establish stone quary kwa ujenzi wa Iringa-mafinga highway,msaidizi wangu alimkurupua bundi kutoka...
Is Lizzy,
Mnamatch, mko perfect kwa pamoja. Am giving you an offer of having each other on that day-pendaneni msitendane.
Asprin, Golden Mpolee hajapata nafasi ya kukaguliwa, nakupa offer...
celebrity mimi nimeamua kuchukua maamuzi magumu ya kubadilisha ID!! kutokana na sababu ya kuombwa kubadilisha kila kukicha!! na wengi hapa JF wanaopenda michango yangu ya kujenga na kuelimisha...
Kajivalentine hako kanajongea,naona shamlashamla zimepanda moto!!
Kwanza kabda ya yote nataka kujua jinsia ya huyu kiumbe wakuitwa NITONYE!!sijui dume hili??sijui jike hili??Lakini kwa mipasho...
Habari za asubuhi/mchana watajwa hapo chini .Nawasalimia tujamani nimegundua wapiga chabo hili jukwaa ni wengi kuliko wenye match sahizi wapiga chabo wapo 459 ukilinganisha na wenye mechi 138...
Baada ya wiki mbili za harusi mama mtu alimuuliza mwanae wa kike, vipi maisha ya ndoa mwanangu? mtoto akamjibu mama yake: du mama maisha kama vile British Airways, mama mtu akatoka nduki mpaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.