Katoa Uroda Bure | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katoa Uroda Bure

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Malunkwi, Feb 25, 2012.

 1. Malunkwi

  Malunkwi JF-Expert Member

  #1
  Feb 25, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 314
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  John alimwalika rafiki yake Fred nyumbani
  kwake kwa ajili ya dinner na vinywaji.
  Baada ya maakuli na wakati vinywaji
  vinaendelea, mkewe John (Lisa) na mgeni
  wao Fred walikuwa wanacheza karata.
  ... ... Kwa bahati mbaya karata ikaangukia chini
  ya meza, Fred alipoinama kuichukua
  akaona nyeti za Lisa ambae hakuwa
  amevaa chupi. Fred akahamanika kwa
  aibu, japo John hakukugundua.
  Baadae kidogo John alipokwenda jikoni
  kuchukua vinywaji, Lisa akamuuliza
  Fred:"Umekipenda ulichokiona?"
  Fred: "Ndiyo".
  Lisa: Utakipata kwa laki moja, ila iwe
  ijumaa mchana maana John huenda site
  visits kwa wateja wake kila ijumaa.
  Ijumaa ikafika, Fred akaja kwa John na laki
  na mchezo ukachezwa. John aliporudi jioni
  akamuuliza mkewe: "Fred alikuja?"
  Lisa akawaza:'Inawez ekana alimuona
  akija au kaambiwa', akajibu:"Ndiyo, alipita
  hapa mara moja".
  John: "Safi, alikuachia laki moja?"
  Lisa akawaza: 'Huyu atakuwa anajua'.
  Akamjibu mumewe kwa upole:"Ndiyo,
  kaileta".
  John: "Fred ni mwaminifu sana, alikuja
  asubuhi ofisiniakanikopa laki moja na
  akasema atapita nyumbani akuachie
  mchana"
  Lisa : akabaki ametoa macho kumbe ametoa bureee
   
 2. egbert44

  egbert44 JF-Expert Member

  #2
  Feb 25, 2012
  Joined: Mar 17, 2006
  Messages: 361
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  kudadadeki kuna watu wana akili na busara kama Pilato natamani ningekuwa mimi lol!
   
 3. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #3
  Feb 25, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,312
  Likes Received: 5,598
  Trophy Points: 280
  Haaahahha sasa hiyo ni kasheshe aiseee ...twasubiri episode ya 2..
   
 4. N

  Nyuki baby Member

  #4
  Feb 25, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tehee teeh! we ni nomaaaaaaa!!
   
 5. mtzedi

  mtzedi JF-Expert Member

  #5
  Feb 25, 2012
  Joined: Dec 13, 2011
  Messages: 1,345
  Likes Received: 377
  Trophy Points: 180
  we ni kwereeeeeeeeeeeeeee
   
 6. Negrodemus

  Negrodemus JF Gold Member

  #6
  Feb 25, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 2,125
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  mweee watu wanambinu.. Loh
   
 7. L

  Laptani Member

  #7
  Feb 25, 2012
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Sipati picha mwanamke alikuwa anaonyesha ufundi wake akijua laki imeingia na mwanaume akifanza vitu vyake akili kichwani (bwerere), akijua anamuachia shemejiye msiba!
   
Loading...