nani mkali kati ya hawa?

nani mkali kati ya hawa?

yahoo

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
3,526
Reaction score
1,410
kikundi gani *kinatsha kati *ya orijino komedi cha TBC na ze comedi show cha EATV?
 
Siku watoto watakapokimbia TV nitajua kikundi KINACHOTISHA!!!!!!!!
 
Halloooo! zile pesa zipo chini ya godolo, usichukue zote lkn...tutaonn badae saizi nachati na wana jf
 
Searching...100%
Loading...100%
Network Connected !

EATV nouma !
 
Mbona hvo Vikundi ni vya kuchekesha.. Sio kutisha wala wakali mbona unawasingizia?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom