uanaume kazi kweli kweli.....

Bishanga

JF-Expert Member
Jun 29, 2008
15,323
10,050
yaani sijui kama nitapona mwaka huu,hebu niwachotee kiduchu toka kwenye inbox yangu,just imagine hii ni leo tu:
from Koku: baba luku imeisha
from housegirl pendo: baba hujaacha hela ya taka
from mama sima sinza: we baba sima hivi hujui kodi imeisha?
From mama kidawa tabata: mtoto anaumwa
from mama stumai mwanza:stumai anakumbushia graduation imekaribia
from mama kayai original:we na umalaya wako utaniua,ndo kumbe bado unalala na mama kidawa
from mama kidawa:mkeo kanipigia amenitukana!
From sophy mabibo hostel:ile blackberry imeharibika screen
from nancy wa airtel:sweetie my car is due for service
mama kayai tena:watoto wamerudishwa shule hujalipa karo
Jamani jamani hiyo ni leo tu jumatano 21st feb,nitapona kweli 2012?
 
Leo Jumatano tar 21st Feb 2012? Kweli watakuua!!
 
Ujanja wote kumbe hulipi school fees ya watoto!.. Matatizo ya kujitakia hayo, amua kuyaepuka uone kama inbox itajaa!
 
Sasa kwa nini usibaki na Mama Kayai Original peke yake? Na hao watoto wengine wote wakusanye kwa Mama Kayai.
It will be much, much, much more easier naona.
 
sweeitie mbona una flip flop unanikandia au unanionea huruma mtoto wa mwenzio? Tatizo wanawake wa mjini akishaona we ni mshefa ukimgusa tu mimba.
 
ahsante mpendwa,baadhi wamenipa watoto,wengine ving'ang'anizi wanajua nikichukua mtoto na mgao bai bai,si unajua tena vikapu vya ijumaa?
 
Sasa kwa nini usibaki na Mama Kayai Original peke yake? Na hao watoto wengine wote wakusanye kwa Mama Kayai.
It will be much, much, much more easier naona.

A-a-a-a-a-aaah.... Kosa la jinai hilo... Labda aende kwa mama Sima,na akusanye vifaranga vyote hapo...
 
sweeitie mbona una flip flop unanikandia au unanionea huruma mtoto wa mwenzio? Tatizo wanawake wa mjini akishaona we ni mshefa ukimgusa tu mimba.
Mie wala sikuhurumii manake umejitakia...hapo bado kongosho hajasema mchanga umeisha site! Utajibeba baba!
 
Mkuu sikuonei huruma kabisa. Tena naombe zije nyingine nyingi tuu mpaka ujute kuwa na hivyo vidumu na viplastick
 
Back
Top Bottom