Utani wa kenya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utani wa kenya

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by simplemind, Feb 25, 2012.

 1. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #1
  Feb 25, 2012
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,813
  Likes Received: 2,584
  Trophy Points: 280
  Kiss fm hallo?

  Mimi ni njeri napiga simu kutoka mukuru kwa njenga.

  Nanata kudediketi nyimbo ya Rihhana " man down" kwa bwana yangu yeye iko kenyatta hospital.

  Ujumbe sisi tutaswaga mpaka mupunguse ulefi na mupango ya kando.
   
 2. egbert44

  egbert44 JF-Expert Member

  #2
  Feb 25, 2012
  Joined: Mar 17, 2006
  Messages: 361
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Wakenya nao bora wachague lugha moja waeleweke sidhani kama wanajua lugha yao inayowaunganisha na EAC ni nn?
   
 3. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #3
  Feb 25, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Wakenya bana. Eti wanatembea kwa Mateke. Yaani kwa miguu.
   
Loading...