Damu ya kunguni waijua? Soma hapa

malyimosenior

New Member
Apr 21, 2011
3
0
Damu ya kunguni haimanishi ww nikunguni bali hakuna jema utakalofanya na litaonekana,hata neno ukiliongelea zuri bado litakua baya,njia ya kuepukana ni kukaa kimya
 
Kama sisi wapenzi wa Man U , jinsi tunavyopendeka ndiyo kusema tuna damu ya Njiwa ! Tena Njiwa mweupe.
Na hiyo Damu ya kunguni wanayo
Shhhhh ! Sogeza skio nikunong'oneze wenyewe wasiskie ni Arsenal hao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom