Kuna utofauti kati ya JF-EXPERT na JF PREMIUM members.

Premier League Vs Vodacom League....nini tofauti yake?
 
tofauti nazoona ni hizi
1. Unakuwa umechangia mfuko wa jf, which is fair kwa taarifa zote hizi tunazozipata na kurelease stress freely hapa

2. Kuna jukwaa la premium members nalo unapata access yake.
 
Thanks mkuu
 
Back
Top Bottom