JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Watu wamekuwa wasumbufu sn day & night mi nasumbuliwa sana, wengine wana heshima zao humu hlf bado hawana staha. Au tatizo ni ule uzi wangu? Sasa nawataarifu kama mtaendelea nitamwaga majina yenu...
3 Reactions
266 Replies
16K Views
If swimming is a good exercise to stay FIT, why are whales FAT?? Why is the place in a stadium where people SIT, called a STAND? Why is that everyone wants to go to HEAVEN but nobody wants to...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wabongo tuna kazi kwenye kutamka na kuyaandika haya maneno... 1. SIDE MIRRORS = Sight Mirrors, Site Mirror 2. HELMET = Element, Elementi, Elmet 3. FIRE EXTINGUISHER = Fire Tigisher 4. RAV 4 =...
11 Reactions
227 Replies
17K Views
habari zenu wana jf, leo nimekumbuka baadhi ya madikteta na waasi pmj na vikundi vyao ambao waliitikisa dunia enzi hizo...kuna akina hitler, musolini,saddam...tuendelee kujikumbusha wengineo...
0 Reactions
1 Replies
724 Views
Hili litakuwa zaidi ya lile la Sugu na Ruge ni zaidi ya uhasama wa cdm na ccm, ni ngoma nzito zaidi ya vita ya Bush na Osama, ni uadui zaidi ya ule wa Kibaki na Odinga, ni chuki kubwa zaidi ya ile...
1 Reactions
93 Replies
6K Views
wana jamvi vipi nichukue hiyo nafasi nigombanie ubunge niwemwakailishi wenu naomba ushauri wewe wa dau
0 Reactions
22 Replies
2K Views
nyange kamtembelea mke wa cholo maongezi yako hivi.. Nyange.."hodi shem Mke.."karibu shemu Nynge.."cholo yupo? Mke.."hayupo Nyange..shem nikuulize? Mke.."ehe Nyange.. shem unayo k**¥ma Mke wa...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Mida hii ukiniona nipo kwenye internet ujue nimechoka mbaya....pesa hakuna....kama leo ni balaa nimechalala mbaya....
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Sio kila kitu Englishi, hv nikiwa najua lugha za makabila zaidi ya 20 ya Tz, sipati ajira yenye heshima hapa hapa Tanzania??
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wana JF hebu niambieni huu mgao wa umeme ndo umerudi kimyakimya? manake huku kwetu kila siku unakatika afu unarudi jioni......
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Unakuta umesahau unakoelekea au umepotea njia,kurudi nyuma ulikotoka unaona aibu mbele za watu halafu unaanza kushika mifuko ya suruali,jacket au mkoba mbele za watu kuonyesha umesahau kitu,au...
1 Reactions
54 Replies
5K Views
When wife / husband gets one child will be called a PARENT, but when gets two children will be called REFEREE and when gets three or more children will be called SPECTATOR. Jadili kama kuna...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
"Siku zinapita, na zikishakupita hazirudi tena" Hapa miaka imepita, MINNE. Nakumbuka tarehe kama leo, 25 Februari 2008 nilipojiunga na Jambo kama mchezo tu, baadaye ikaja Jamii Forums, nikaanza...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Padre alikuwa anahubiri : 'Biblia inasema kuwa wale wasiotubu na wanaendelea kutenda madhambi watalia na kusaga meno siku ya hukumu'. Hapo ndipo Kibogoyo mmoja alipocheka na kumnong'oneza mwenzie...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
jamani mwenye mawasiliano yeyote ya irene uwoya anipe tafadhali,nataka nimuoe ili ajifunze kuishi na mwanamume masikini!fasta please...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
"CCM HAIKUBALIKI, TUSHIRIKIANE KUITOKOMEZA" Na wewe edit slogan ambayo unaona maana yake inamantiki kwenye jamii
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Wana JF hebu niambieni huu mgao wa umeme ndo umerudi kimyakimya? manake huku kwetu kila siku unakatika afu unarudi jioni......
0 Reactions
2 Replies
1K Views
A man visits a local pharmacy with his 6-year old son Bryan, a very inquisitive boy. As they were paying for their purchases at the counter, the boy saw some packs of condoms and asked, “Daddy...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna jimama moja lilikuwa linapenda sana vitoto vidogo hata vile vinavyocheza barabarani. wazazi wa wale watoto wakaona jimama linawaharibu vitoto vya wakamuwekea kikao na kumwambia kama hawezi...
0 Reactions
19 Replies
10K Views
Najua mlinimiss... Here I am! Mimi ambaye ni acting rais wa Chit-Chat (usiniulize nimechaguliwa na nani), natangaza rasmi uteuzi wa huyu member View Profile: Kigarama - JamiiForums | The Home of...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Back
Top Bottom