Mama na bintie...

IamError_D

JF-Expert Member
Dec 21, 2011
432
92
Binti:Mama wale mateja watu wabaya xana MAMA:wamekufanyaje mwanangu? BINTI:Niliwaomba waniangulie maembe mtini wakaniambia nipande mwenyewe MAMA:pumbafu zao walitaka wakuchungilie chuPI YAKO BINTI:WEEE¡,unadhan me cna akili? MAMA:ulifanyaje? BINTI:Niliwakomesha,niliivua chupi nikaificha mfukönii..."
 
inamaana chupi kwao ndio heshima kuliko nyeti? kama ndivyo tuheshimu mila zao
 
imenikumbusha familia moja huko njombe chup ilikuwa ni luxury inavaliwa mtu akienda mjini au hospital walikuwa na moja tu sasa siku moja mdogomtu alipanda lorry tingo akamwona akamwuliza we mbona hujavaa chup akajibu leo ni samu ya dada amekwenda usa matosani mujini
 
Eee bwana kuna kaukweli hapo nashangaa Njombe kupewa hadhi ya Mkoa!

Back
Top Bottom