JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
SAMAHANI SINA NIA YA KUANDIKA LUGHA CHAFU ILA HII NILIISIKIA NIKASHANGAA. Jamaa mmoja alikuwa anasema eti kwenye mpira huwa wachezaji wanabadilishana jezi baada ya mechi kama ishara ya fair...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
za asubuh jaman beibe nasty naendelea vizuri na mafua. Sasa bana kunawatu hawa wananikera hakuna mfano eti mtu anakohoa,anapiga chafya, anapiga miayo halaf hazibi mdomo halaf ukimwambia anakua...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Mwanaume mzuri akiwa na wanawake wengi huitwa... DUME LA MBEGU! MWANAMKE MZURI JE MWENYE WANAUME WENGI TUMWITEJE JAMANI....?!:mad2:
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Jamani, hebu njoni tupige stori tu Kuna mtu kaniibia pochi yangu hapa Kariakoo nina hasira ya kula mtu mzima mzima Nahisi nataka kupandisha mori Bora niwakaribishe kwa kahawa na biya hapa Labda...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mhindi alikuwa anatoa maelekezo kwa dereva wake, kuhusu kupeleka mzigo nyumbani kwake. Mhindi: Nasikia veve dureva, peleka hii kapu jumbani yangu. Ukifika jumbani ukikuta ile mke yangu TOM-MPAa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wana wa jamii, milango ya saa 11, nikiwa natoka kwenye mishemishe zangu, gari yetu ikasimama maeneo ya mjini mmojawetu alikua ananua vocha. Hapo tuliposima mbele yetu kuna fundi wa simu, kwa...
0 Reactions
1 Replies
954 Views
Yaani for Gods sake naomba tu hii siku iishe maana nimeboreka kupitiliza! No sms tangu asubuhi kwenye simu yangu achilia mbali simu zenyewe No new email achilia mbali skype Yaani ndio kusema watu...
1 Reactions
28 Replies
2K Views
Kazi njema na weekend njema, tufanye mazuri na tuwafanyie watu mazuri kwani ukijifanyia mazuri siku ukifa unaondoka nayo ila ukiwafanyia watu watabaki nayo all the time.
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Wanawake wa Uganda wamechachamaa, kwa kupinga mwenzao (Ingrid), kushikwa matiti wakati anakamatwa na polisi kwa kutembea kifua wazi. Tukio hili la aina yake limevuta hisia za wengi na...
0 Reactions
44 Replies
15K Views
Jamaa mmoja aliishi sana mjini baada ya kutoka kwao kijijini kwa muda mrefu,baadae jamaa aliamua kuoa na akaona bora ampeleke mke wake kwa wazazi wake kijjni. Wazazi wa yule jamaa walikuwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Tangu tuzaliwe mpaka tumekuwa watu wazima ni 95% nguvu za malezi ya jinsia za kike. Tukianzi nyumbani mtoto siku zote hulelewa na jinsia hii, mama, dada au house girl, tukianza chekechea au day...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Bibi mmoja kibogoyo alikuwa amelazwa hospitali. Siku moja alimtuma mjukuu wake amletee kashata za karanga, kwa kuwa alikuwa hana meno alifyonza sukari halafu karanga akawa anaweka kwenye kisosi...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Dah! Kuna tajiri mmoja jina lake Bakharesa kwa sasa anagombea tawi la CCM kule visiwani Zanzibar ila nimemfuatilia sana khs historia yake na nikagundua kuwa kabla hajazishika pesa alikuwa jina...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Mwalimu: Maandazi matano ukitoa mawili yatabakia mangapi? Mwanafunzi: kama ukinipa na supu halibaki hata moja
0 Reactions
0 Replies
981 Views
A wife asked her husband to describe her. He said you are " A, B, C, D, E, F, G, H, I, J, K " She asked " What does that mean?" He explained : you are Adorable, Beautiful, Cute, Delightful...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
1.Unajifanya unasuluhisha watu wanapigana kumbe kimoyo moyo unataka wadundane ila unasuluhisha tu ili uonekane unajali 2.Kujifanya unasuluhisha wapenzi waliogombana kumbe kimoyo moyo unataka...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Katika daladala mama mmoja alitaka kumnyonyesha mtoto wake. Mtoto akakataa! Mama akamwambia "nyonya kama hutaki nampa Anko anyonye" (Anko ni kaka mmoja abiria aliyekaa na huyo mama pembeni)...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za leo wana JF, baada ya kufuatilia hili suala mara nyingi na michakato mbalimbali pamoja na kesi zihusuzo uzalilishaji nimejiuliza maswali mengi ambayo sijaweza kujipatia majibu; hivi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
katika ulimwengu huu wa sasa mwanaume aliyekamilika amekuwa ni bidhaa adimu sana kupatikana, wewe mtoto wa kike umejiandaaje na ushindani huu ili kuhakikisha unaipata bidhaa hii adimu sana, hasa...
0 Reactions
63 Replies
5K Views
wakati upo mtoto ulikua unapenda cheza mchezo upi na nikwanin? Mimi nilikua napenda saana rede coz nilikua straiker wao n nilikua najua, na pia kombolela coz nilikua napenda kujifichaficha weee...
0 Reactions
34 Replies
2K Views
Back
Top Bottom