Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Karibuni kwa Kahawa ya Alasiri na Biya za Adhuhuri

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Kongosho, Apr 27, 2012.

 1. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #1
  Apr 27, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,142
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 145
  Jamani, hebu njoni tupige stori tu
  Kuna mtu kaniibia pochi yangu hapa Kariakoo nina hasira ya kula mtu mzima mzima
  Nahisi nataka kupandisha mori

  Bora niwakaribishe kwa kahawa na biya hapa
  Labda ntatuliza mawazo, washindwe wezi wote waliopo hapa usoni mwa dunia.


  . . . . . .
   
 2. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #2
  Apr 27, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,774
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Pole mamii,, ilikuwa na shi'ngi ngapi? nijue kabisa, Wale jamaa wasije wakanizidi kete kwenye mgao..
   
 3. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #3
  Apr 27, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,923
  Likes Received: 172
  Trophy Points: 160
  pole sana...njoo hapa..mtaa wa swahili...tucheze DHUMNA...au hapo ulipo kuna DHUMNA..maana mie naupenda huo mchezo sana.. Kongosho
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Apr 27, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,142
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 145
  Ilikuwa na pesa ndogo tu
  Lakini kwa nini uchukue pochi yangu?

  Hivi Dar mnaishije?

   
 5. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #5
  Apr 27, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,142
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 145
  Dhumna ndio bao?
  kama ni bao nakuja.

  Niko hapa stendi ya Mwenge nakunywa juisi na kimchina changu uzuri kilikuwa mkononi.

   
 6. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #6
  Apr 27, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 28,698
  Likes Received: 3,581
  Trophy Points: 280
  hizo ndo ajira milioni moja mlizoahidiwa.....
   
Loading...