Nesi aiba karanga za mgonjwa.

Nesi aiba karanga za mgonjwa.

Bra-joe

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,886
Reaction score
1,569
Bibi mmoja kibogoyo alikuwa amelazwa hospitali. Siku moja alimtuma mjukuu wake amletee kashata za karanga, kwa kuwa alikuwa hana meno alifyonza sukari halafu karanga akawa anaweka kwenye kisosi, alipolala nesi akanyata na kula zile karanga. Alipoamka akamuuliza nesi "nani kazitupa karanga zilizokuwa ktk kisosi"? Nesi akajibu "sijui" bibi akamuadithia kwamba karanga zilikuwa kashata na yeye kanyonya sukari kaachia karanga. Nesi nusu azimie.
 
Ha ha ha ha ha!
Tena ukute bibi alikuwa ananyonya huku shavu moja katia ugoro!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom