Matukio ya Aibu na ufichaji sura za wahusika" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matukio ya Aibu na ufichaji sura za wahusika"

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Pinokyo Jujuman, Apr 27, 2012.

 1. Pinokyo Jujuman

  Pinokyo Jujuman JF-Expert Member

  #1
  Apr 27, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari za leo wana JF, baada ya kufuatilia hili suala mara nyingi na michakato mbalimbali pamoja na kesi zihusuzo uzalilishaji nimejiuliza maswali mengi ambayo sijaweza kujipatia majibu; hivi kwanini ktk matukio ya aibu mengi zitolewapo picha za wahusika Mwanamke hufichwa sura lkn Mwanaume huumbuliwa?
  Kama suala la udhalilishaji kwani haki hii ipo kwa Wanawake peke yao au sababu kuu ni ipi?
   
 2. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #2
  Apr 27, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,898
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Umesahau kuwa wana haki zao hao?Kwani lini umesikia wanaume nao wana haki zao labda Kenya ndio wanataka kuanza..
   
 3. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #3
  Apr 27, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Saa nyingine wanawake ndiyo wanakula dili na hao wapiga picha ili litokee fumanizi..
   
Loading...