Apitilizwa kituo cha basi akisubiri kunyonya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Apitilizwa kituo cha basi akisubiri kunyonya

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by mopaozi, Apr 27, 2012.

 1. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #1
  Apr 27, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Katika daladala mama mmoja alitaka kumnyonyesha mtoto wake.
  Mtoto akakataa!
  Mama akamwambia "nyonya
  kama hutaki nampa Anko anyonye" (Anko ni kaka mmoja abiria aliyekaa na huyo mama pembeni).
  Mtoto akanyonya kidogo akaacha!
  Mama akamtishia tena kumpa Anko!
  Ndipo yule kaka kwa hamaki akasema ''Mama uwe na msimamo.Unajua nimepitiliza vituo vinne kwa ajili yako, hebu kuwa mkweli! Utanipa ninyonye aau nishuke?"
   
 2. 666

  666 Member

  #2
  Apr 27, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  u made my day jembe
   
 3. S

  SHERRIE Member

  #3
  Apr 27, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 77
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ha ha haaaaaaa! Nafwa!
   
Loading...