Khaaaa, what a day!

EJM_

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
3,836
2,090
Yaani for Gods sake naomba tu hii siku iishe maana nimeboreka kupitiliza!

No sms tangu asubuhi kwenye simu yangu achilia mbali simu zenyewe
No new email achilia mbali skype
Yaani ndio kusema watu wote wamenisusa leo?
 
Sasa huo ni utoto au utu uzima? Siuwapigie na kuwatxt wewe?
No yaani what i wanted to say here ni kwamba zaidi ya siku za kazi, siku nyingine nakuwa useless leo ndio nimegundua
 
Yaani for Gods sake naomba tu hii siku iishe maana nimeboreka kupitiliza!

No sms tangu asubuhi kwenye simu yangu achilia mbali simu zenyewe
No new email achilia mbali skype
Yaani ndio kusema watu wote wamenisusa leo?

nenda jokes au MK utakuwa released na miboreko yako..
 
kijana unataka usaidiwe bado unakuwa na wasiwasi!
Wasiwasi lazima niwe nao maana najua tamko huwa halimaanishi mwisho halisi ndio nataka nipate uhakika kwako ili kama kunatokea soo u stand on my side
 
Hivi huwa inaandikwaje tena?...katika huduma ambayo imenipita pembeni ni hiyo ya plz call me na plz recharge me lol...

Mi hata najua basi! Jana nimeumia sana, kwenye status ya Bishanga alidai eti una mimba kweli?
 
Back
Top Bottom