Mhindi na Kiswahili tata… | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mhindi na Kiswahili tata…

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Wilbert1974, Apr 27, 2012.

 1. Wilbert1974

  Wilbert1974 JF-Expert Member

  #1
  Apr 27, 2012
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 1,607
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  [FONT=&quot]Mhindi alikuwa anatoa maelekezo kwa dereva wake, kuhusu kupeleka mzigo nyumbani kwake.[/FONT]
  [FONT=&quot]Mhindi: Nasikia veve dureva, peleka hii kapu jumbani yangu. Ukifika jumbani ukikuta ile mke yangu TOM-MPAa. Ukikuta ile sichana ya kazi tom-mpaa tu. Hata ukikuta ile toto yangu ya kike tompaa. Hata ile mbwa, paka kama nakuta yeye tompaa tu hamna shida.[/FONT]
  [FONT=&quot]Dereva: Eeeeh! Unasemaje mkuu??![/FONT]
  [FONT=&quot]Mhindi: Uelewi nini mimi isha kwambia yeyote kuta jumbani tompaa mzigo tu.[/FONT]
  [FONT=&quot]Dereva: ***????@!!!!&~~~ MMMH SAWA![/FONT]:welcome:
   
 2. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #2
  Apr 27, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Tompaa maanake ndo nini?
   
 3. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #3
  Apr 27, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,951
  Likes Received: 1,276
  Trophy Points: 280
  haichekeshi
   
 4. Wilbert1974

  Wilbert1974 JF-Expert Member

  #4
  Apr 27, 2012
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 1,607
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Wahindi huwa hawawezi kutamka neno UTAMPA kiusahihi. Ukiwasikiliza wasema neno hili inaelekea kama anaongea neno la TUSI. Umenipata, SHINE.
   
Loading...