Fair play | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fair play

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Shine, Apr 27, 2012.

 1. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #1
  Apr 27, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  [h=6]SAMAHANI SINA NIA YA KUANDIKA LUGHA CHAFU ILA HII NILIISIKIA NIKASHANGAA. Jamaa mmoja alikuwa anasema eti kwenye mpira huwa wachezaji wanabadilishana jezi baada ya mechi kama ishara ya fair play. Je kwako wewe hapo ungekuwa kila ufanyapo mapenzi mnabadilishana chupi kuonesha fair play, hadi sasa ungekuwa na chupi ngapi za watu???? hahahah hahaaaa mm cjui. Naomba kuwasilisha hoja!!![/h]
   
 2. c

  chen Member

  #2
  Apr 27, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  we ungekuwa nazo ngapi?
   
 3. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #3
  Apr 27, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Zingebakia idadi sawa ila aina tofauti tofauti
   
 4. Nambe

  Nambe JF-Expert Member

  #4
  Apr 27, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 1,455
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  isingewezekana coz chu.. za kiume na zza kike ni tofauti na maumbile ni tofauti
   
Loading...