uadimu wa mwanaume aliyekamilika

The Infamous

JF-Expert Member
May 11, 2009
731
121
katika ulimwengu huu wa sasa mwanaume aliyekamilika amekuwa ni bidhaa adimu sana kupatikana, wewe mtoto wa kike umejiandaaje na ushindani huu ili kuhakikisha unaipata bidhaa hii adimu sana, hasa katika ulimwengu huu wa haki sawa kwa wote' jipande'
 
nashukuru wangu amekamilika idara zote....sijui wengine....
 
Dawa ya moto ni moto,kumpata mwanaume aliyekamilika na mwanamke lazima awe amekalika..hiyo ndio simple formula..
Lakini hua wanasema hakuna binadamu aliyekamalika..
 
mmmh,
imekuwaje wanaume wanajinadi sana humu leo,
nimeanza kuwa na wasiwasi na nyie watoto wa kiume.
 
Mgekuwa adimu usinge leta mnada hapa, nini kinawafanya mtange na njia vitaa vyote vyenu kusaka warembo?
 
Weka features zako hapa

Rangi?
Uzito?
Ukubwa/udogo wa matiti?
Makalio?
Nyonga?
Elimu?
GPA?
Kipato?
Usafi?

viwango vyangu vya ukamilifu haviwezi kuwa sawa na vyako. Kama muhusika yoyote anajiamini kuwa amekamilika, inatosha kumfanya ajivunie.
 
Back
Top Bottom