Si twaambiwa ukicheka siku unasogeza ? Chekeni na nyie basi ! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Si twaambiwa ukicheka siku unasogeza ? Chekeni na nyie basi !

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Judgement, Apr 27, 2012.

 1. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #1
  Apr 27, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Wana wa jamii, milango ya saa 11, nikiwa natoka kwenye mishemishe zangu, gari yetu ikasimama maeneo ya mjini mmojawetu alikua ananua vocha.
  Hapo tuliposima mbele yetu kuna fundi wa simu, kwa nje na nyuma yake kuna duka la simu.
  Kilichoniongezea siku hapo, ni ubao mkubwa uliyokua juu ya duka hilo, bandiko hilo lilisomeka kama ifuatavyo ;-
  TUNAFURASHI SIM ZA AINA ZOTE,
  TUNAUZA BETLI OLIGINOL ZA AINA MBARIMBARI ,
  TUNAINGIZA NYIMBO KWENYE SIM.
  Hapa mtu usicheke kweli ?
   
 2. WaliNazi

  WaliNazi JF-Expert Member

  #2
  Apr 27, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 853
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  ...aiseee...
  OLIGINOL...
  Ahaaa haaa... Wapi hapo mkuu.?
   
Loading...