Tuowe wanawake wenye hekima. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuowe wanawake wenye hekima.

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by ISSA SHARAFI, Apr 26, 2012.

 1. ISSA SHARAFI

  ISSA SHARAFI JF-Expert Member

  #1
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 25, 2012
  Messages: 407
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Jamaa mmoja aliishi sana mjini baada ya kutoka kwao kijijini kwa muda mrefu,baadae jamaa aliamua kuoa na akaona bora ampeleke mke wake kwa wazazi wake kijjni. Wazazi wa yule jamaa walikuwa wamezeeka sana. Baada ya kufika hom na mkewe (kwa wazazi) waliandaa chakula na kula wote kwa pamoja lkn ghafla yule mwanamke alianza kucheka na kusema "kweli tembea uone mengi leo chakula nakula na nyani...!!" Yaani wale wazazi wa mumewe. JE,ungekuwa ww ungechukua uamuzi gani?
   
 2. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #2
  Apr 26, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,053
  Likes Received: 3,084
  Trophy Points: 280
  Ningemtuma akawalete watoto wa hao nyani popote atakapowapata aniletee mmoja ama anionyeshe
   
 3. Endangered

  Endangered JF-Expert Member

  #3
  Apr 26, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 929
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Nimesonya!
  + kicheko cha hasira na tafakuri.
   
 4. P

  Praff Senior Member

  #4
  Apr 26, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 139
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ningemchapa kisha ningempa talaka.
   
 5. ZeMangi

  ZeMangi JF-Expert Member

  #5
  Apr 26, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pchuuu....kha ata mimi nimesonya bhana,haiwezekani.
   
 6. Higash

  Higash JF-Expert Member

  #6
  Apr 26, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 844
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  ningempa kipigo cha golota vstyson
   
 7. S

  SHERRIE Member

  #7
  Apr 26, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 77
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ningemkaba hapo alipo hadi macho yangemtokea utosini halafu ningempiga picha na kuipost kwenye fb wall na twitter page yake. Title: nyani mpya.
   
 8. Nambe

  Nambe JF-Expert Member

  #8
  Apr 27, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 1,455
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  alisahau usemi wa ukipenda boga penda ua lake, lakn hapo kakutukana na ww sasa. duh kweli kuna watu mishipa ya haya ilishalegea
   
 9. Annael

  Annael JF-Expert Member

  #9
  Apr 27, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 13,339
  Likes Received: 10,439
  Trophy Points: 280
  Ni wewe nn yamekutokea?
   
 10. M

  Mr. Magena Member

  #10
  Apr 27, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Namkanumba
   
 11. ISSA SHARAFI

  ISSA SHARAFI JF-Expert Member

  #11
  Apr 27, 2012
  Joined: Apr 25, 2012
  Messages: 407
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kwani umesikia mi nimooa au huelewi nnaposema jamaa mmoja?
   
 12. F

  Fofader JF-Expert Member

  #12
  Apr 27, 2012
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 838
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 45
  Hekima inapimwa kivipi? Na mtu anaipata wapi?
   
Loading...